Kwani madereva wa vibaby walker wana fujo sana?

Aisee!
Ila hata wenye magari yao wanatuwashia sana tu, i thought ile kuwasha ni kumpa mtu alert tu kuwa i'm going to overtake you..
Wengi tu wanafanya, umesomea wapi kuwasha taa ni alert ya kuovateki? Ndio nyie mnawasha taa halafu mnaingia tu as if taa zako ndio breki zangu.
 
Teh dah!
Wengi wanafanya, anawasha indicator kuonyesha kutaka ku-overtake then anaflash taa halafu huyoooo, wenye miprado na ndugu zake huwa wanafanya sana hivyo. Mimi old school naendesha kufuata sheria mkuu.
 
Ndio maana wenye malori wanawaingizaga mkenge kwa kuwashawasha taa na papara. Ukiwsha taa hovyo mtu anaona una m-harass. Old school ni bora.
 
Wengi tu wanafanya, umesomea wapi kuwasha taa ni alert ya kuovateki? Ndio nyie mnawasha taa halafu mnaingia tu as if taa zako ndio breki zangu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji12][emoji12][emoji12]
hili jibu ni konki...hope that you spent six hours in the library to find this genuine answer.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu huna upcountry trip sana unaanzaje kununua above 3000cc cars!?.. Nunua hata IST ikubebe mjini hapa lower fuel, less service, longer comfortability.

Siwatetei wenye Passo (kagari kabaya kale bora hata probox).

Msitutoe kwenye lengo jamani,mada ni kwanini mna fujo??
 
Kuna baadhi ya nyuzi JF inakubidi usome tu kisha kila kitu ukiacha hapohapo, does it make no sense kwa kuwa ww una crown basi mwenye vitz hana haki ya kuku overtake ilihali uko slow, basi nyinyi wenye hizo prestigeous cars ombeni barabara zenu mnazoendesha mwendo wa harusi.Haki najivunia kumiliki IST yangu bora kabisa.

Acha fujo barabarani, kila mtu ana haki ya kuovateki. Kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofauti
 
Kuna baadhi ya nyuzi JF inakubidi usome tu kisha kila kitu ukiacha hapohapo, does it make no sense kwa kuwa ww una crown basi mwenye vitz hana haki ya kuku overtake ilihali uko slow, basi nyinyi wenye hizo prestigeous cars ombeni barabara zenu mnazoendesha mwendo wa harusi.Haki najivunia kumiliki IST yangu bora kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Msitutoe kwenye lengo jamani,mada ni kwanini mna fujo??
 
Mkuu kuna vitu siyo lazima ufundishwe.. headlights zinaweza kutumika kama lugha ya mawasiliano kati ya dereva na dereva, kuna siku lori lilikuwa limewasha indicator ya kulia kuzuia lisipitwe lakini ilikua mda sana wala hakukuwa na sababu ya msingi ya kuzuia lakn baada ya kumflash mara kadhaa ndo akazima indicator yake na kutanua
Ndio maana wenye malori wanawaingizaga mkenge kwa kuwashawasha taa na papara. Ukiwsha taa hovyo mtu anaona una m-harass. Old school ni bora.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waendeshaji wa magari kama premio,carina,corrolla,spacio na allion hawana league na mtu barabarani sisi sikuzote tunapenda tufike safari zetu salama lakini wenye I.s.t na passo ni mapepe barabarani na wengi wao ni wageni wa magari na bado hawajui kuendesha vizuri magar yao
sijaona cresta apo mkuu
 
Back
Top Bottom