Kwani madereva wa vibaby walker wana fujo sana?

Akili za kitoto kweli, hivi kama speed limit ni 80 why ninunue gari la 3500cc and you can achieve milage at lower cost kwa kuitumia baby walker. Ni akili mgando ndo maana hatuendelei always save,save save save katika kufanya mambo yako. Is not prestige kuendeshagari kubwa huku ukiwa maskini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh kwahio wenye magari ya cc3500 hawana akili?
 
Ligi kwa cc900?
images
 
Wana penya kila chocho ndo mmana haya wewe na PRADO lako unaweza penya kwenye Hili Foleni..zaidi yakukaa kutulia dereva wa lori mbele yako akuamulie mwendo wa kwenda...Acha starlet bana RAHAAAA
 
Acheni fujo
 
Back
Top Bottom