Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kila ukichangia lazima utafute sababu ya kuitaja hiyo Carina [emoji3][emoji3][emoji3] haya jivunie chakoMwenyewe na carina yangu huwa nawapisha hawa jamaa wa I.s.t na passo wapite maana wengi wao ni wafanyakazi ambao wamepata magari kwa mikopo
Utaitaje gari za wenzako baby walker wakati wewe hunahata baiskeliHivi Kwa nini madereva wa vibebiwoka wana vurugu sana barabarani? Ni ugeni wa gari au sms(short man syndrome)?
Nimekuelewa mkuuMkuu kila ukichangia lazima utafute sababu ya kuitaja hiyo Carina [emoji3][emoji3][emoji3] haya jivunie chako
Sent using Jamii Forums mobile app
Naita kama ninavyosikia wengineUtaitaje gari za wenzako baby walker wakati wewe hunahata baiskeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh kwahio wenye magari ya cc3500 hawana akili?Akili za kitoto kweli, hivi kama speed limit ni 80 why ninunue gari la 3500cc and you can achieve milage at lower cost kwa kuitumia baby walker. Ni akili mgando ndo maana hatuendelei always save,save save save katika kufanya mambo yako. Is not prestige kuendeshagari kubwa huku ukiwa maskini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ligi kwa cc900?
Jf bhana...Utaitaje gari za wenzako baby walker wakati wewe hunahata baiskeli
Sent using Jamii Forums mobile app
ni ugeni wa gariHivi Kwa nini madereva wa vibebiwoka wana vurugu sana barabarani? Ni ugeni wa gari au sms(short man syndrome)?
subaru sio babywalkerHasa wenye subaru, harrier, kluger etc wanafujo sana na sababu kubwa yao ni sms
Sent using Jamii Forums mobile app
NomaInakuacha kama na wewe unakua na ki-baby walker mkuu.
Sent from my iPhone using JamiiForums