Kwani madereva wa vibaby walker wana fujo sana?

Kwani madereva wa vibaby walker wana fujo sana?

Hivi unaendeaha gari haionyeshi engine rotation, haina temperature gauge, ina speedomwtwe na fuel gauge tu basi. Kama pikipiki ya kichina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kuwa unaendesha 50kph usiku mara unaona mtu anaku-flash kwamba you are too slow basi unampisha mara unaona Passo inapita kwa fujo zote
Mkuu naamini hapa umetania, kwani mwenye passo hawezi kuomba kwamba you're too slow na mimi nina haraka? Au passo zina speed limit ya 50 kama bajaj..teh teh!!
 
Mkuu naamini hapa umetania, kwani mwenye passo hawezi kuomba kwamba you're too slow na mimi nina haraka? Au passo zina speed limit ya 50 kama bajaj..teh teh!!
If I'm too slow just overtake. Kuniwashia taa zako niongeze mwendo unaotaka wewe ni ushamba.
 
If I'm too slow just overtake. Kuniwashia taa zako niongeze mwendo unaotaka wewe ni ushamba.
Aisee!
Ila hata wenye magari yao wanatuwashia sana tu, i thought ile kuwasha ni kumpa mtu alert tu kuwa i'm going to overtake you..
 
Back
Top Bottom