Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasa wenye subaru, harrier, kluger etc wanafujo sana na sababu kubwa yao ni sms
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo gari nyingi ni za kampuni ya uber bila kunilikiwa na uber. Na wengi ni retired bodabodaz
Hakyamungu[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Ahahhaha
Eti retired bodabodaz
Hahahahaha, nimecheka sana.Ligi kwa cc900?
Hahaha, waacheni wenzeni bwana.Mwenyewe na carina yangu huwa nawapisha hawa jamaa wa I.s.t na passo wapite maana wengi wao ni wafanyakazi ambao wamepata magari kwa mikopo
Hata tunaopanda daladala tunaona fujo barabaraniMngekuwa mnabishana kwa kuweka na picha za magari mnayomiliki ingekuwa safi sana, sio mnabishana kwa magari mnayoyaona barabarani tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuwa unaendesha 50kph usiku mara unaona mtu anaku-flash kwamba you are too slow basi unampisha mara unaona Passo inapita kwa fujo zote
😀😀 uendi mbinguni.
Gari gani hio?Hivi unaendeaha gari haionyeshi engine rotation, haina temperature gauge, ina speedomwtwe na fuel gauge tu basi. Kama pikipiki ya kichina
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naamini hapa umetania, kwani mwenye passo hawezi kuomba kwamba you're too slow na mimi nina haraka? Au passo zina speed limit ya 50 kama bajaj..teh teh!!Unaweza kuwa unaendesha 50kph usiku mara unaona mtu anaku-flash kwamba you are too slow basi unampisha mara unaona Passo inapita kwa fujo zote
If I'm too slow just overtake. Kuniwashia taa zako niongeze mwendo unaotaka wewe ni ushamba.Mkuu naamini hapa umetania, kwani mwenye passo hawezi kuomba kwamba you're too slow na mimi nina haraka? Au passo zina speed limit ya 50 kama bajaj..teh teh!!
Aisee!If I'm too slow just overtake. Kuniwashia taa zako niongeze mwendo unaotaka wewe ni ushamba.