Muigizaji Vin Diesel aliachana na mpenzi wake wa miaka mitatu, lakini walipoachana, hakumtoa nje ya nyumba yake, aliogopa kwamba angeishi maisha ya chini, hivyo alimuachia nyumba yao na yeye akaenda kupanga nyumba nyingine.
Sio hivyo tu, aliendelea kulipia bili zote kwaajili yake na binti yao na alikataa kabisa chombo chochote cha habari kuingilia au kuchapisha chochote kuhusu kutengana kwao. Baada ya miaka 6 huyo ex wake alipata ajali na alihitaji kuongezewa damu. Vin Diesel aliwahi haraka hospitalini kwenda kumuongezea damu na alipopona wakarudiana!
𝗖𝗛𝗔 𝗞𝗨𝗝𝗜𝗙𝗨𝗡𝗭𝗔: Nadhani tunatakiwa kuishi pamoja kwa upendo na unyenyekevu Ila ikitokea tumetengana basi isiwe vita, upendo na heshima ubaki kati yetu bila kujali kitakachotokea!