Kwani mlitakaje? Makolo bwana

Kwani mlitakaje? Makolo bwana

SALOK

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2011
Posts
3,364
Reaction score
2,001
Baada ya Ihefu kubahatisha na wakabahatika kibahati bahati, imekuwa nongwa!!

Kabla ya kuvunjiwa heshima na hawa madogo wa kuitwa Ihefu, Mabingwa wa kihistoria, mabingwa wa muda wote, wazee wa unbeaten, WANANCHI tulipewa kila aina ya lawama na tuhuma! "Ooh, wanahonga marefa! Ooh, wanapendelewa, unbeaten za mchongo!, Mara ooh magoli ya mganga!" na mengine kibaoo... SIJUI WAO HAWAWAJUI HAO WAGANGA!!!??

Bahati mbaya madogo wa Ihefu wamechafua gazeti, Asiyekubali kushindwa si mshindani! sasa Makolo kutwa kucha hawalali, Ni lawama, kejeli na kila aina ya usumbufu..!! juu yetu, Kwani tuliwaambia hatutafungwa milele?? au tuseme....

MLITAKAJE KWANI??
NB; Bado shida iko pale pale!
Mayele bado yupo sana!
Kuna viporo mechi 2!
Wananchi watatetema sana tu...
 
Sio yanga tu,hata hao ngada fc watakapo kuja mbarali nao tutawapa mchele vilevile
 
Tulichotaka kuutoa ule mwiko na madogo wameweza hilo
Baada ya Ihefu kubahatisha na wakabahatika kibahati bahati, imekuwa nongwa!!

Kabla ya kuvunjiwa heshima na hawa madogo wa kuitwa Ihefu, Mabingwa wa kihistoria, mabingwa wa muda wote, wazee wa unbeaten, WANANCHI tulipewa kila aina ya lawama na tuhuma! "Ooh, wanahonga marefa! Ooh, wanapendelewa, unbeaten za mchongo!, Mara ooh magoli ya mganga!" na mengine kibaoo... SIJUI WAO HAWAWAJUI HAO WAGANGA!!!??

Bahati mbaya madogo wa Ihefu wamechafua gazeti, Asiyekubali kushindwa si mshindani! sasa Makolo kutwa kucha hawalali, Ni lawama, kejeli na kila aina ya usumbufu..!! juu yetu, Kwani tuliwaambia hatutafungwa milele?? au tuseme....

MLITAKAJE KWANI??
NB; Bado shida iko pale pale!
Mayele bado yupo sana!
Kuna viporo mechi 2!
Wananchi watatetema sana tu...
 
Screenshot_20221201-104413_WhatsApp.jpg
 
Si Ihefu walikataa mlungura mkanyooshwa!
 
Sawa..ila sasa ndio mfungwe na mburuza mkia???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti nanii??
Ni kama Kunguru tu anavyomnyea binadamu, halengi...
 
Tunaweka historia nyingine, ya kutofungwa na timu yoyote nyingine ispokuwa IHEFU...
Kamq mlivyokuw mnasema de agosto ni ihefu iliochangamka and vise versa is true
 
Makolo itawachukua miaka 40 kuvunja rekodi hii...
 
Rekodi ya kuchezewa na mwiko nyuma na kijana baro baro ihefu? Hatuna ujinga huo
Kwamba nyie mmetuzowea sisi wazee wenzenu wa miaka nenda miaka rudi...!!!
 
Back
Top Bottom