SALOK
JF-Expert Member
- Sep 20, 2011
- 3,364
- 2,001
Baada ya Ihefu kubahatisha na wakabahatika kibahati bahati, imekuwa nongwa!!
Kabla ya kuvunjiwa heshima na hawa madogo wa kuitwa Ihefu, Mabingwa wa kihistoria, mabingwa wa muda wote, wazee wa unbeaten, WANANCHI tulipewa kila aina ya lawama na tuhuma! "Ooh, wanahonga marefa! Ooh, wanapendelewa, unbeaten za mchongo!, Mara ooh magoli ya mganga!" na mengine kibaoo... SIJUI WAO HAWAWAJUI HAO WAGANGA!!!??
Bahati mbaya madogo wa Ihefu wamechafua gazeti, Asiyekubali kushindwa si mshindani! sasa Makolo kutwa kucha hawalali, Ni lawama, kejeli na kila aina ya usumbufu..!! juu yetu, Kwani tuliwaambia hatutafungwa milele?? au tuseme....
MLITAKAJE KWANI??
NB; Bado shida iko pale pale!
Mayele bado yupo sana!
Kuna viporo mechi 2!
Wananchi watatetema sana tu...