View attachment 1615572
Hapa ndipo nimewakuta watz wenzangu wakimaliza hasira zao mida hii... Wengine wako busy tu na maisha yao like nothing significant is going on today... The thing you term it significant... Amazingly Nobody cares hapa mtaani..
Analysis yako umeitoa like huwajui watz vizuri...
Opposition wameanza kulia kuchezewa rafu za kuibiwa kura leo...?
Assuming watz wamekuwa wakikasirika kwenye chaguzi zilizopita, Hizo hasira zimekuwa zikiishia wapi...?
Unajua nini opposition wanafanya Mkuu..!
Mnaishi kwa matumaini(HOPE) mkitegemea hizi rafu one day watz watazi-consider significant, then watachukua hatua za kudai mageuzi kwa njia ambazo mlidhan hata sasa zingefanikiwa ila so far the response is poor...
Mkuu wangu, Hope is not a strategy...
Kwa kuongezea opposition wanapaswa kuacha kuwa bendera fuata upepo...
Mnawekeza nguvu nyingi kuibua ajenda zinazolenga kumshambulia mtu asiyedumu badala ya chama...
Kama mazishi ya ajenda ya ufisadi yalivyofanyika 2015, ndivyo ajenda ya udikteta itavyozikwa 2025... Then mtaanza kutapatapa kutafuta madhaifu ya mgombea ajae ili mjenge ajenda... Namshangaa sana Malisa anavyojichosha kuandaa magazeti ya kujustify kuwa awamu hii ni ya udikteta... 2025 ndio atajua alikuwa hajui..
Upinzani lazima ubadilike.