Kwani mngegomea, mngepungukiwa na nini?

Tanzania hakuna viongozi wa upinzani. Nashauri wajiuzulu wote tuanze upya.
 
Zitto kabwe mbunge mstaafu aliwahi kusema kugomea uchaguzi sio njia ya kupata tume huru na haki.

Mtoa mada tulia hvy hvy
 
Sawasawa mkuu
 
Nakataa kabisa na unacho suggest! Kwamba upinzani kosa lao ni kumshambulia mtu na siyo chama? No way! Hilo la watanzania kuingia barabarani namba sana unisome vizuri.... hata mimi nimekubali kabisa watanzania ni vigumu sana kuingia barabarani. Lakini nilichosema ni kuwa njia ya kushiriki kwenye uchaguzi halafu uporaji unapotokea kama ilivyokuwa kuna uwezekano (japo mdogo sana) wa kuamsha watu kuliko kugomea uchaguzi na kuwahamasisha watu kuingia barabarani. Sikuelwi kabisa kabisa unavyosema wapinzani hawana ajenda au wanabadilisha ajenda. Kwanza ukisema hivyo ina maana unakubali kuwa CCM wanashinda kihalali kitu ambacho ni uongo wa mcahna kweupe.
 
Kama chadema wakigomea kuna vyama vingine upinzani gelesha vitaonekana vimeshiriki na ccm itashinda kwa kishindo....

Tukisema kuomba katiba mpya haiwezi kupatikana kwa staili hii.....never...
 
Mimi nilisema muda mrefu...kushiriki ni kuhalalisha uchaguzi huu. Lakini hawakusikia. Sasa vyama vya upinzani vimerudi kwenye political wilderness.
 
Mimi naona kuna faida imepatikana,,at least wamefanikiwa Ku expose uovu waliotendewa na kila mtu ameona hii ina faida mbele ya safari kama ulivyosema mambo ya kisiasa matokeo yake sio lazima yawe papo kwa papo.
 
Mimi naona kuna faida imepatikana,,at least wamefanikiwa Ku expose uovu waliotendewa na kila mtu ameona hii ina faida mbele ya safari kama ulivyosema mambo ya kisiasa matokeo yake sio lazima yawe papo kwa papo.
Kwani mlikuwa hamjui?
 
Click to expand...
Ni mataahira (mental retards) pekee ndiyo wanaweza kushangilia eti CCM wameshinda uchaguzi huu wa 2020.
 
Unawezaje kuwawekea shinikizo wasiojulikana?

Hii hujuma imefanikiwa kwa msaada wao.

Pia sidhani kama CCM wanaogopa mtu hapa duniani,kama walifikia kutangaza hadharani kuwa sasa wataua kwa sindano na si kwa nguvu(risasi)

Acha mapenzi ya Mungu yatimizwe,kwani kuna maksudi katika kila jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…