Kwani mngegomea, mngepungukiwa na nini?

Wewe unaonaje?
 
Nyani Ngabu, shida ni kwamba Lisu anajiona yeye kila kitu anaweza si uliona ile mikwara yake wakati wa kampeni?
 
Aisee!

Tatizo laweza wala lisiwe la vyama vya upinzani.

Tatizo laweza kuwa ni wafuasi wao!
 
"Hakuna kushiriki chaguzi za maigizo ambazo mtu hauhitaji hata uwe genius kujua matokeo yake yatakuwaje"

Hao unaowaambia wasishiriki uchaguzi wa maigizo,usikute nao ni waigizaji pia ndio maana wanakuwa hawakuelewi unapowaambia watoke kwenye maigizo.
 
"Hakuna kushiriki chaguzi za maigizo ambazo mtu hauhitaji hata uwe genius kujua matokeo yake yatakuwaje"

Hao unaowaambia wasishiriki uchaguzi wa maigizo,usikute nao ni waigizaji pia ndio maana wanakuwa hawakuelewi unapowaambia watoke kwenye maigizo.
Good point!
 
Wangegoma Mbatia na Lipumba wangeshiriki.
 

Safi

1.tume ya uchaguzi iwe huru
 
Ndio maana unajiita Nyani, hata mawazo yako hayana tofauti
 
We jamaa unavyoongea utadhani upo nje ya Tz
 
Uko sahihi lkn WATANZANIA ukiwemo wewe siyo watu wa kuwaamini. Wangegomea mngekuja hapa na bandiko la kuwananga.Kugomea uchaguzi ni sawa na kumwachia fisi bucha. Yote kwa yote ukitaka kuishi maisha marefu usitake kujua kinachoendelea au kinachofanyika ndani nchi hii Tanzania.
-BINAFSI SIKUJISUMBUA KUPIGA KURA JAPO KITUO KILIKUA MITA CHACHE TOKA KWENYE MAKAZI YANGU.Nikapige kura ili iweje wakat najua kura yangu haina thamani yoyote,hao mbweha walishaandaa matokeo yao.
-Polepole alishasema watashinda kwa zaidi ya 85% na ukiangalia matokeo yanayotangazwa MECO anacheza kuanzia 80% Hadi 90% hivyo ni mpango mahususi wa ushindi.
-Acha turudi chama kimoja pengine baada ya miaka 5 Watanzania akili zitatukaa sawa na kujitambua
-Nimalizie kwa kusema tu kuwa option sahihi Ni hiyo uliyoipendekeza,na wakawa siriaz kulisimamia kwa gharama yoyote ,japo akina CHAUMA,CUF wangeshiriki na kuhalalisha huu uchafu.
 
Mimi kutokushiriki chaguzi za maigizo umekuwa ni msimamo wangu kwa miaka zaidi ya 10 sasa.

Sijawahi kuubadili na sitoubadili mpaka hali itapobadilika.
 
Akili kubwa sana ya kepembua Mambo,

Kongole Sana chief.
 
Nyani nakusapot 100 % wapinzan hawajielew ivi walitegemea nn kwa tume ile ile ilioteuliwa na watu wale wale tena mtu alisha sema anamlipa mkurugenzi then mkurugenz amtangaze mpinzani hiv hawa ndugu zetu walitegemea kutangazwa wameshinda uchaguzi kwa tume hii mkurugenzi ni kama tena hata hajifichi viongozi wa upinzan mjitafakari sana hamjui mnachotaka na hamjui mnachopigania such a bunch of stupid people shame wanawazid ata hawa walio rig this election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…