Kwani Mondi hapa amekosea nini?

Bado kinatumika sana, ingawa ni archaic.
Naunga mkono hoja. nakumbuka kuna mdada mmoja mmarekani mweusi na ni mcheza filamu za ngono, kama sikosei anaitwa cherokee 'd' nini sijui aliulizwa kuwa haoni anajidhalilisha kufanya vitu kama vile. Alijibu, "I do me! I do me. It ain't anyone's prob but me!"

Kwa mantiki hiyo, huyo mondi yuko sahihi kabisaaa.

Nje ya mada (naomba radhi lakini), mbona kuna picha ya mondi badala ya picha ya mondi akiwa ndani ya 'I bought me helicopter' yake?!!!
 
Nilivosoma alichoandika mondi nimeona yupo sahihi kabisa.Ila nilivosoma coment humu eti naona kakosea.Yaan mshanitingisha.
 
Nje ya mada (naomba radhi lakini), mbona kuna picha ya mondi badala ya picha ya mondi akiwa ndani ya 'I bought me helicopter' yake?!!!
Mtu ambaye angeweza kukujibu hili swali ni Mondi mwenyewe mkuu, na si Mimi.
 
Kakosea wapi? Hata wamarekani wanasemaga hivyo.
Kuna lugha ambazo sio official lakini zinatumika. Hata kiswahili tunakiharibu sana lakini tunaelewana.
Mondi hajakosea.

Kuna Lugha wanazungumza Jamaica (Rastafarian),,,,kile kiingereza ukiandika humu nadhani watu watatamani wakufuate ulipo wakupige na mawe kabisa....

Mwamba kanunua Helicopter,,, nadhani hii ni motivation ya msingi kuliko hio Lugha..,,,Yaani waTanzania wapo kama NZI,,,wao hutazama tu palipo na ubovu.

WIVU, CHUKI, ROHO MBAYA,,UBINAFSI ni vinawasumbua waTanzania wengi sana... UNAWEZA TEMBEA JUU YA MAJI,,,lakini waTz wakasema ni kwasababu umepoteza nauli......Hawana Jema la kujifunza wala kupongeza
 
Wivu, chuki na roho mbaya kama ulivyosema, ndo tatizo
 
We all know the importance of knowing English but the main point here we should congratulate the guy He has a helicopter that everyone of us here still dreaming.
 
Kuna tangazo moja la redio flani tangazo la chuo cha kozi mbali mbali ikiwemo kiingereza na yule bidada anaesoma tangazo anakosea kiingereza hicho hicho
 
Kwani angeandika hivi "God is good, I buy my helicopter today"
Wazee wa Linguistic kwani hii ni aina gani ya sentensi maana naona jamaa kachanganya past verb 'bought' kwenye present tense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…