Homo Floresiensis
Member
- May 12, 2022
- 6
- 14
Namna hiyo ya lugha hutumika hasa na jamii ya watu weusi nchini Marekani, Yuko sahihi kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]analazimisha lugha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namna hiyo ya lugha hutumika hasa na jamii ya watu weusi nchini Marekani, Yuko sahihi kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]analazimisha lugha
Watanzania tuna tatizo sehemu mkuu, tunajudge sana bila kujifunza.Sawa kabisa jamaa Yuko sawa ila wasiojua ndio wanakosoa
Kakosea wapi? Hata wamarekani wanasemaga hivyo.😂😂😂😂😂analazimisha lugha
Ushamba unatusumbua sana. Na wanaomkosoa wote ukifatilia wanaongea broken EnglishWatanzania tuna tatizo sehemu mkuu, tunajudge sana bila kujifunza.
Exactly, wabongo wengi tupo tayari kubisha hata kwenye vitu tusivyovielewa, just to fit in, in the crowd.Ushamba unatusumbua sana. Na wanaomkosoa wote ukifatilia wanaongea broken English
Naunga mkono hoja. nakumbuka kuna mdada mmoja mmarekani mweusi na ni mcheza filamu za ngono, kama sikosei anaitwa cherokee 'd' nini sijui aliulizwa kuwa haoni anajidhalilisha kufanya vitu kama vile. Alijibu, "I do me! I do me. It ain't anyone's prob but me!"Bado kinatumika sana, ingawa ni archaic.
Mtu ambaye angeweza kukujibu hili swali ni Mondi mwenyewe mkuu, na si Mimi.Nje ya mada (naomba radhi lakini), mbona kuna picha ya mondi badala ya picha ya mondi akiwa ndani ya 'I bought me helicopter' yake?!!!
Case ClosedHatuangalii lugha tena, Mondi keshavuka another level hata angeandika kilugha chake
Kakosea wapi? Hata wamarekani wanasemaga hivyo.
Kuna lugha ambazo sio official lakini zinatumika. Hata kiswahili tunakiharibu sana lakini tunaelewana.
Mondi hajakosea.
SahihiHatuangalii lugha tena, Mondi keshavuka another level hata angeandika kilugha chake
Wivu, chuki na roho mbaya kama ulivyosema, ndo tatizoKuna Lugha wanazungumza Jamaica (Rastafarian),,,,kile kiingereza ukiandika humu nadhani watu watatamani wakufuate ulipo wakupige na mawe kabisa....
Mwamba kanunua Helicopter,,, nadhani hii ni motivation ya msingi kuliko hio Lugha....
WIVU, CHUKI, ROHO MBAYA,,UBINAFSI ni vinawasumbua waTanzania wengi sana...
Yupo sahihi cha kimtaani lakini siyo ya kile cha queenHapana hakumaanisha hivyo, yupo sahihi.
Walimwengu kaka.Nashangaa Kuna watu Wanamponda kweli