MadTafuteni mahali mkatukanane sio kwenye Uzi wangu
God is Good (S+V+Cs) + I bought me a helicopter today (S+V+ Oi+Od+A),waliosoma syntax miaka hiyoo wamenielewa."God is Good, I bought me a helicopter today"View attachment 2321129
"God is Good, I bought me a helicopter today"View attachment 2321129
Wala sina muda wa ligi.Huyo dada ni mpenda ligi hapo utajisumbua bure
Hajakosea lolote.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]analazimisha lugha
Me sio myHiyo me alimaanisha my
Hajakosea lolote.
Ngeli ya kizamani kabla mzee wako hajazaliwa
Huyo dada ni mpenda ligi hapo utajisumbua bure
Hayuko sahihi mkuu, angeandika " I bought a helicopter for myself"Yuko sahihi kabisa.
Stupid!! Ficha ujinga!Kiingereza chake kinachefua Sana yaani,khaa!
Angeandika " I bought a helicopter for myself" or rather " I bought my own helicopter"
kama unafuatilia movie z marekani na tv shows. hajakosea....its common"God is Good, I bought me a helicopter today"View attachment 2321129
Hadi uangalie movie !!? Hiyo English sahihi kabisa.kama unafuatilia movie z marekani na tv shows. hajakosea....its common
Si kweli!Kwa English ya UK ambayo tunajifunza, mondi kaandika broken ila kwa USA, Jamaica na English pijin yuko sawa tu
Weka ukweli sasaSi kweli!