Kwani Mondi hapa amekosea nini?

Kwani Mondi hapa amekosea nini?

Mnaojua kiingereza sahihi mna 'hedikopta' ngapi?
 
Kiingereza chake kinachefua Sana yaani,khaa!

Angeandika " I bought a helicopter for myself" or rather " I bought my own helicopter"
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Zari ameshindwaa kabisa kumfunza lugha mzazi mwenza
 
I bought you an orange. Wabongo bana, haya nirekebisheni na Mimi.
 
Kwa English ya UK ambayo tunajifunza, mondi kaandika broken ila kwa USA, Jamaica na English pijin yuko sawa tu
 
Back
Top Bottom