Kwani Mondi hapa amekosea nini?

Kwani Mondi hapa amekosea nini?

Kuna dogo mmoja wa Bolt kaja kunichukua akaanza kiingereza chake kama Kansiime, wacha anisumbue masikio njia nzima. Yaani anaongea kiingereza mimi Kiswahili mpaka tunafika.
 
Acheni kuumiza kichwa
Amemaanisha(Leo nimejinunulia chopa)
Mbona lugha tamu kabisa
 
Back
Top Bottom