Maelezo ni marefu sana yeye ataleta feed back hapa kwenye wall baada ya kupata solution ya tatizo lake.Wewe unataka kumuibia tu, yeye kauliza hapa mpe solution hapa na wengine wafaidike!
Na wala usifikirie kila kitu unaibiwaMaelezo ni marefu sana yeye ataleta feed back hapa kwenye wall baada ya kupata solution ya tatizo lake.
Sent using Jamii Forums mobile app
KabisaHivi vitoto vinaweza vikakulaza macho mwezi mzima usipokuwa mwangalifu.
Tafuta kazi ya kufanya, Tanzania ya Magufuli hakuha hela za mchezo mchezo.Maelezo ni marefu sana yeye ataleta feed back hapa kwenye wall baada ya kupata solution ya tatizo lake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fafanua kivip?Wengine hulilia majina
time will tell
Sorry kaka mshana jr ...hiyo inasaidia nini kwa huyo mtoto? naomba kupata ufahamu wa hiloChukua kitunguu saumu saga kidogo sana weka na maji kidogo kisha mpake kwenye paji la uso kifuani tumboni na viganjani
Pia waweza kutumia hata chumvi kwa mbali lakini kwenye maji yake ya kuoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto anaponyonya maziwa ya mama huwa kwa kiwango kidogo huingiza na hewa wakati ananyonya...na ndiyo maana kwa binadamu kuna jinsi ya kumfundisha mama mzazi namna ya kumnyonyesha mtoto ili kwa mtoto anyonye maziwa vizuri na mengi kwa kadri anavyoweza na pia kupunguza kuingiza hewa tumboni.Gas inatoka kwa njia ya kujamba, sijaelewa ni njia ipi mbadala ya kumtowa mtoto gesi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee!!! Umegonga pale pale, nimepata mjukuu yapata wiki mbili sasa yaani usiku hatulali.Wajuzi wa mambo haya hebu njooni mtusaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app
pata pepsi baridiKama nimemuelewa vizuri mtoamada ni anaulizia ni Kwa nini, Sina hakika iwapo anataka solutions
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa umenena vema.Kama swali liliulizwa sababu ni nyingi na zinatofautiana Mtoto na Mtoto.
Ila kuna zile ambazo zinajulikana kwa wengi.
1. Mtoto analia sababu ana njaa
2. Mtoto analia sababu anajisikia tu kulia.[emoji6]
3. Mtoto analia sababu anahitaji kubadilishwa nepi.
4. Mtoto analia sababu hajiskii vizuri, pengine anaumwa /maumivu
5. Mtoto analia sababu amechoka anahitaji Kulala.
6. Mtoto analia sababu anataka kubebwa.
7. Mtoto analia sababu anasikia joto au baridi.
Kama yote hayo hayamuhusu basi mwache alie akichoka atalala, jinsi anavyozidi kukua atapunguza nakuacha kabisa.
Kutuliza vilio na kushtuka usikuSorry kaka mshana jr ...hiyo inasaidia nini kwa huyo mtoto? naomba kupata ufahamu wa hilo