Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,662
- 3,017
Hii familia ya mzee kijani imajaaliwa kutawala kijiji chetu kwa muda mrefu. Walikuja watawala wengi kutoka katika familia hii wakafanya mambo mazuri na wakaharibu lakini si kwa kiwango hiki alichoharibu huyu mwanafamilia waliempa kijiti baada ya kiongozi kutoka familia hiyo Mzee Chuma kufariki.
Familia ya mzee kijani ina watu wengi wenye elimu mno, je hawaoni kuwa mwenzao ana waharibia jina la familia yao ambalo lilipewa heshima na "the teacher " pamoja na mzee Chuma.
Kwanini wanaendelea kusifia upuuzi ambao hata mtu ambae yuko na IQ ndogo sana anaona kuwa ni upuuzi. Mtu anaongoza kijiji chetu kwa utani, yaani hotuba ya kiongozi wa kijiji chetu inakuwa na vijembe utadhani ni kampeni😅🤣😂 . Au hata ndani ya familia hakuna democracy.
Watuletee hata yule kaka yao mkubwa mwenye nywele nyingi aliyejaaliwa Majaliwa ya mwenyezi Mungu kuteuliwa kuwa kaka mkuu na mzee Chuma, kazi yake huwa si kitoto ila kwa sasa amezuiwa tu na kiongozi mkuu wa familia.