The Genius
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 828
- 2,110
Ibada inakua ya kitaifa impliedly....thus lazima ahutubie.
semper fidelis
inawezekana walikuwa hawaswali mkuu ila tunapaswa kushukur kupata kiongozi mcha MunguNyerere na Mkapa, walikuwa wanasalije??
Mwinyi na JK, nao misikitini ilikuwaje??
Tusijaji bila kujua...labda ndiyo itifaki kila ibada utoe speech!
Everyday is Saturday........................... 😎
Nyerere na Mkapa, walikuwa wanasalije??
Mwinyi na JK, nao misikitini ilikuwaje??
Tusijaji bila kujua...labda ndiyo itifaki kila ibada utoe speech!
Everyday is Saturday........................... 😎
Naamini anaombwa atoe salamu. Huwa kuna kipindi cha matangazo na hata kukaribisha wageni kama wapo kanisani. Nini kimekuudhi kwa hili? Kimekuuma kitu gani?
Muwe na sababu za msingi za kukosoa, sio kukosoa tu hivihivi. Mimi huwa namkosoa JPM kwa kuminya demokrasia, lakini anapofanya jambo zuri namsifia. Na akifanya jambo halina sababu ya kuzungumzia, kama kuongea kanisani, nakaa kimya.
Kwani huna cha maana zaidi cha kuandika?
Huu uzi mzito mno !Wakuu Salamu,
Husika na kichwa cha uzi huu, napenda kuuliza hivi ni sheria za kanisa au nchi kwamba kwa kila ibada atakayo hudhuria rais wa nchi ni lazima apewe muda wa kuzungumza?
Maana naonaga hapa kwetu tu, kwani marais wa nchi zingine duniani huwa hawaendagi kwenye nyumba za ibada? Mbona hatusikii hotuba zao wakiwa makanisani au misikitini?
Au hawana dini?
Au ni lazima kila akienda church media zitangaze?
Hivi unajua maana ya mcha Mungu?inawezekana walikuwa hawaswali mkuu ila tunapaswa kushukur kupata kiongozi mcha Mungu