Kwani ni lazima kila ibada atakayohudhuria Rais, azungumze?

Hivi unajua maana ya mcha Mungu?
Unavyosema kiongozi mcha Mungu unamaanisha nini?

Kumcha Mungu sio kuingia kwenye nyumba za ibada au kurudia kusema mungu mungu mungu mungu kila saa. Kumcha Mungu ni kutenda mema, kutoa haki na kuhubiri upendo kwa watu wote.

Mimi nasema, Tz tunapaswa kusikitika sana kupata kiongozi asiye muogopa Mungu hata chembe na anayependa kumdhihaki Mungu kila mara. Kuliko kumshukuru Mungu katika hili basi sasa tutubu kwa niaba yake.

Ni bora kuwa na kiongozi mpagani lakini mwenye kuthamini utu kuliko huyu tuliye naye sasa.
Magufuli ni mcha Mungu na kiongozi anayeongoza nchi kwa kumsikiliza Roho mtakatifu
 
Roho mtakatifu?

Wastaafu wanakucheki tu wanasema hiiiiiiiiii,roho mtakatifu amuingie akumbuke kuwalipa mafao yao.
 
Hivi unajua maana ya mcha Mungu?
Unavyosema kiongozi mcha Mungu unamaanisha nini?

Kumcha Mungu sio kuingia kwenye nyumba za ibada au kurudia kusema mungu mungu mungu mungu kila saa. Kumcha Mungu ni kutenda mema, kutoa haki na kuhubiri upendo kwa watu wote.

Mimi nasema, Tz tunapaswa kusikitika sana kupata kiongozi asiye muogopa Mungu hata chembe na anayependa kumdhihaki Mungu kila mara. Kuliko kumshukuru Mungu katika hili basi sasa tutubu kwa niaba yake.

Ni bora kuwa na kiongozi mpagani lakini mwenye kuthamini utu kuliko huyu tuliye naye sasa.
kwa hiyo wewe unanasaba gani na Mungu mpaka umtoe magu kwenye hilo Hakuna alokamili wacha kutoa hukumu
 
Binafsi nasema, hakuna sababu yoyote, kwa kiongozi wa kisiasa au kiserikali kuhutubia katika nyumba za ibada. Watu wanakwenda Kanisani na misikitini kumwabudu Mungu, sasa madhabahu zinapogeuzwa kuwa majukwaa ya wanasiasa huko ni kuzichafua dini au imani.

Kwanini nasema hivyo?
1. Mwanasiasa anaweza kusema chochote kulingana na mlengo alionao kisiasa, kauli zake akiwa madhabahuni zinaweza kuwagawa waumini kwa misingi ya kiitikadi.

2. Madhabahu za kidini zimebeba taswira ya kiimani, hivyo mwanasiasa anayesimama katika hizo madhabahu kuhutubia matamshi yake ya kisiasa yatahusishwa na imani ya hiyo madhabahu.

3. Mwanasiasa anaweza kutumia madhabahu ya kidini kujisafisha kisiasa, hivyo dini itawajibika kumlinda kisiasa huyo mwanasiasa ili kuilinda thamani ya madhabahu yake iliyotumika kumsafisha.

4/Mwanasiasa anaweza kutumia madhabahu za kidini kuwachafua watu wengine kisiasa, na dini haitaweza kutoa nafasi sawa kwa kila mwanasiasa kuja kutumia madhabahu hizo hizo tena ili kujisafisha ikiwa alichafuliwa na mwanasiasa katika madhabahu hizo.
 
kwa hili upo sahihi mkuu
 
nilikuwa sijajua kuwa raisi wetu tangu ameingia madarakani 2015 ,amehutubia j2 zote, leo ndo nimejua
 
Dini zimejiingiza kwenye siasa, baadhi ya viongozi wa dini huwa wanapiga kampeni kwenye nyumba za ibada hasa zinapokaribia siku za uchaguzi,,,
 
Wakuu Salamu,

Husika na kichwa cha uzi huu, napenda kuuliza hivi ni sheria za kanisa au nchi kwamba kwa kila ibada atakayo hudhuria rais wa nchi ni lazima apewe muda wa kuzungumza?

Maana naonaga hapa kwetu tu, kwani marais wa nchi zingine duniani huwa hawaendagi kwenye nyumba za ibada? Mbona hatusikii hotuba zao wakiwa makanisani au misikitini?

Au hawana dini?

Au ni lazima kila akienda church media zitangaze?

Inaonekana hufahamu nguvu ya viongozi wa mataifa. Viongozi wa mataifa wana mkono wa Mungu (soma kitabu cha Wafalme). Hivyo ni jambo jema sana kwa viongozi wa mataifa kuongea na watu wao na hata kuwatakia baraka wapatapo fursa, maana Mungu alisema nitawabariki utakaowabariki.
 
Wakuu Salamu,

Husika na kichwa cha uzi huu, napenda kuuliza hivi ni sheria za kanisa au nchi kwamba kwa kila ibada atakayo hudhuria rais wa nchi ni lazima apewe muda wa kuzungumza?

Maana naonaga hapa kwetu tu, kwani marais wa nchi zingine duniani huwa hawaendagi kwenye nyumba za ibada? Mbona hatusikii hotuba zao wakiwa makanisani au misikitini?

Au hawana dini?

Au ni lazima kila akienda church media zitangaze?
Mlikosea kukaa kimya,mngeuliza swali hili mwanzoni it is too late now
Mwenzenu kanisa ni sehemu nyingine ya kujidai kisiasa
 
Wakuu Salamu,

Husika na kichwa cha uzi huu, napenda kuuliza hivi ni sheria za kanisa au nchi kwamba kwa kila ibada atakayo hudhuria rais wa nchi ni lazima apewe muda wa kuzungumza?

Maana naonaga hapa kwetu tu, kwani marais wa nchi zingine duniani huwa hawaendagi kwenye nyumba za ibada? Mbona hatusikii hotuba zao wakiwa makanisani au misikitini?

Au hawana dini?

Au ni lazima kila akienda church media zitangaze?
Sio lazima
 
Kuna ubaya gani kwani?,alafu huyo Ni kiongozi wa taifa hili napia ni tahasisi take care
 
Naamini anaombwa atoe salamu. Huwa kuna kipindi cha matangazo na hata kukaribisha wageni kama wapo kanisani. Nini kimekuudhi kwa hili? Kimekuuma kitu gani?

Muwe na sababu za msingi za kukosoa, sio kukosoa tu hivihivi. Mimi huwa namkosoa JPM kwa kuminya demokrasia, lakini anapofanya jambo zuri namsifia. Na akifanya jambo halina sababu ya kuzungumzia, kama kuongea kanisani, nakaa kimya.

Kwani huna cha maana zaidi cha kuandika?

Long time my friend karibu sana. Aisee tena umeingia muda mzuri sana Covid-19 imepita, Mkongwe mojawapo wa JF katia heka heka zake. God bless you and the family.
 
Wakuu Salamu,

Husika na kichwa cha uzi huu, napenda kuuliza hivi ni sheria za kanisa au nchi kwamba kwa kila ibada atakayo hudhuria rais wa nchi ni lazima apewe muda wa kuzungumza?

Maana naonaga hapa kwetu tu, kwani marais wa nchi zingine duniani huwa hawaendagi kwenye nyumba za ibada? Mbona hatusikii hotuba zao wakiwa makanisani au misikitini?

Au hawana dini?

Au ni lazima kila akienda church media zitangaze?

Uelewa wa itifaki na hadhi ya kiti iko diluted sana zama hizi za maisha, bora uitishe mkutano na wazee au uandae state of the nation speech, pupolarity ikiwa chini hizi ni moja ya dalili zake.
 
Anapokuwa kanisani au msikitini anakua Kama mgeni rasmi..so watu wanakufa n shauku na kusikia anachotaka kuongea..angeweza ondoka kimya kimya but Napo wengine hawawez kusikia vzuri
 
Wakuu Salamu,

Husika na kichwa cha uzi huu, napenda kuuliza hivi ni sheria za kanisa au nchi kwamba kwa kila ibada atakayo hudhuria rais wa nchi ni lazima apewe muda wa kuzungumza?

Maana naonaga hapa kwetu tu, kwani marais wa nchi zingine duniani huwa hawaendagi kwenye nyumba za ibada? Mbona hatusikii hotuba zao wakiwa makanisani au misikitini?

Au hawana dini?

Au ni lazima kila akienda church media zitangaze?
Anapenda kuwa fenti fodi.
 
Back
Top Bottom