sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,419
Kudeka suna bana.
Kweli kabisa Bishanga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kudeka suna bana.
Mtu kila weekend anaumwa Mara anataka umshikilie anapokwenda chooni, umpikie chakula kwa sababu anadai anasikia kizunguzungu, umwogeshe, umfulie Ch&@i yake, ukitoka kidogo mesegi kibao kwamba umemtelekeza. sasa Ashadii anasema ni kutaka attention mimi kwa uelewa wangu lengo la kudeka ndiyo hilo la kuvuta attention.
Sasa na kulia ndiyo huko tena. Jambo dogo chozi hilo.... Nakubaliana na Tz1 kwamba kama kudeka basi wanawake dekeni wiki mbili baada ya hapo mnakera jamani. Maana wakati mwingine mnaongea au unamwelekeza jambo la maana yeye ghafla anabadili sauti na kuanza kuongea kama mtoto mdogo. Aaargh! Inakera bana.
Kudeka suna bana.
kweli bwana inapendeza somtmz mwanamke wako anapodeka, lakini isiwe ndiyo formula ya maisha yenu!! Na siyo hata sehemu inapohitajika seriousness.Aisee, mimi huwa ninapenda mwanamke anayedeka, yaani mpaka raha. Anakuwa kama mtoto vile. Napenda awe anadeka kwangu tu.
Sio wakali bana. Ndugu watajazanaje mpaka mke ajifanye mgonjwa? Kama wana kwao, wakae huko huko!Halafu siku hizi dada zetu mmekuwa wakali.
Si unajua uafrika ndugu ni baraka. wana kwao lakini kuja kwako kwa muda tuu ndiyo u-act unaumwa? Mbona ndugu zenu wakija mnawafanyia na sherehe?Sio wakali bana. Ndugu watajazanaje mpaka mke ajifanye mgonjwa? Kama wana kwao, wakae huko huko!
kweli bwana inapendeza somtmz mwanamke wako anapodeka, lakini isiwe ndiyo formula ya maisha yenu!! Na siyo hata sehemu inapohitajika seriousness.
kuna wanawake akiona ndugu wa mume wamejaa kwenye nyumba,ataumwa weeh mpaka wapungue....lol
Teh! Teh! Teh! Teh! Kweli bwana nilikuona ulivyodeka na kutishia kuondoka mpaka watu wote tukaacha kazi zetu na kukubembeleza. lakini siyo kwenye kila ishu binti mzuri, mwisho wa siku tutakuchukia.kudeka raha bwana mimi nadeka humuhumu
nilitukanwa bwana vibaya mno hata usinikumbushe nitaondoka tenateh! Teh! Teh! Teh! Kweli bwana nilikuona ulivyodeka na kutishia kuondoka mpaka watu wote tukaacha kazi zetu na kukubembeleza. Lakini siyo kwenye kila ishu binti mzuri, mwisho wa siku tutakuchukia.
nilitukanwa bwana vibaya mno hata usinikumbushe nitaondoka tena
Jamaa yangu mmoja aliwahi kuniambia kwamba wanawake kuumwaumwa ni aina yao ya kudeka ili wajue kama mwanaume unampenda kweli au magumashi. Pia siyo kila kilio cha mwanamke ni kilio cha kweli.
Hata mimi naamini kwamba wakati mwingine wanawake "wanaumwa" ili wawe karibu na wapenzi wao.Au wanalia ili wabembelezwe.
Sasa kwani ni lazima wanawake wadeke ndiyo wajue wanapendwa kwa kubembelezwa?
Maskini Lyumba angekutumia asingefungwa!