Pentamycin
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 210
- 281
Kataa kulipa buku ya ulinzi subiri uje kulipa fine mahakamani ya shilling laki tatu au uende jela.Nagongewa mlango kufungua wadau wanataka Hela ya ulinzi shirikidhi a.k.a sungusungu,na juzi wakati narudi usiku waliwweka limiti ya mtu kutembea usiku,hii SI sawa ,polisi wafanye majukumu Yao, ninalipa Kodi, haiwezekani kwenye nchi ambayo tunalipa Kodi zetu washindwe kudumisha usalama wetu ,sitetei wizi ila ni wajibu wa wanaotumia kodi zetu kutulinda
Sheria inasemaje kuhusu hili? Mbona maeneo mengine hao watu hawapo? Kama kuna kifungu naomba share hapa tukione.Kataa kulipa buku ya ulinzi subiri uje kulipa fine mahakamani ya shilling laki tatu au uende jela.
Kupanga ni kuchaguwa, ujuwaji uliponza wengi.
Usisahau kuhusu Polisi Jamiiulinzi shirikidhi a.k.a sungusungu
Wewe fuata utaratibu uliowekwa sio kujifanya kuhoji sheria inasemaje wakati wenzako wanafuatwa utaratibu, watu km nyinyi ndio mnashirikiana na wahalifu mnahamasisha watu wasichangie ulinzi shirikishi kisha wakiacha mnawavamia na mapanga na kuanza kuwafanya vitendo ambavyo ni kinyume na sheria,Sheria inasemaje kuhusu hili? Mbona maeneo mengine hao watu hawapo? Kama kuna kifungu naomba share hapa tukione.
DIvision four ndo waombe u polisiWewe fuata utaratibu uliowekwa sio kujifanya kuhoji sheria inasemaje wakati wenzako wanafuatwa utaratibu, watu km nyinyi ndio mnashirikiana na wahalifu mnahamasisha watu wasichangie ulinzi shirikishi kisha wakiacha mnawavamia na mapanga na kuanza kuwafanya vitendo ambavyo ni kinyume na sheria,
Sungusungu ni mradi wa upigaji kuanzia kwa mwenyekiti wa mtaa na kwa wajumbe,,Sheria inasemaje kuhusu hili? Mbona maeneo mengine hao watu hawapo? Kama kuna kifungu naomba share hapa tukione.