Kwani Porte ni gari za maskini?

Ndinga kali space ndani kubwa kama sebule.
 
fuata ushauri wa jamaa yako halfu Nunua discovery 3 uingie gharama zisizokua na maana na uishi kwa mawazo maana utashindwa kulihudumia....
maana tunapaswa kuishi kulingana na watu wanavyotaka
 
Mtu anayejiamini ni yule anayeishi kwa kuangalia mipango yake, na mtu asiyejiamini ni yule anayeishi kwa kuangalia watu wengine wanasemaje.

Ukitaka kuuza Porte kwa bei ya hasara utanistua ili wewe ununue kali atakazopendekeza rafiki yako. Sisi wengine tunahitaji gari la kujikinga na mvua + jua kwa sababu ni choka mbaya!
 
Aisee kama hii porte ina milango mitano naipenda zaidi. Sijawahi kuiona live yenye milango mitano
 
Aisee kama hii porte ina milango mitano naipenda zaidi. Sijawahi kuiona live yenye milango mitano
Iyo ni ya kuanzia 2013. Upande wa dereva ina milango miwili ila upande wa abiria mlango mmoja.
Bei haijaachana sana na 1st generation.



Ushuru wake una range kuanzia hapo Mil 6 hivi.

 
Acha kusikiliza maneno ya watu. Ishi maisha yako. As long as you are happy, nothing matters. Binadamu huwa hawaishiwi cha kusema hata ufanye nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…