Nani karuhusu kufanya mikutano. Ni Samia au katiba? Kwani maandamano yaliyoruhusiwa na katiba ni maandamano Gani! Umeshawahi kuona maandamano ya kuisifia serikali eti ndo yanaruhusiwa? Nchi Gani! Na mbona haijaandikwa kwenye katiba kwamba maandamano ya dini au ya kuisifu serikali ndo yanaruhusiwa tu ili tujue Hilo.Maandamano yasiyo na tija wacha yadhibitiwe tu. Amewaruhusu wafanye mikutano ya kisiasa lakini kutuletea ujinga wa maandamano kama ya Kenya HATUTAKI.
Nani karuhusu kufanya mikutano. Ni Samia au katiba? Kwani maandamano yaliyoruhusiwa na katiba ni maandamano Gani! Umeshawahi kuona maandamano ya kuisifia serikali eti ndo yanaruhusiwa? Nchi Gani! Na mbona haijaandikwa kwenye katiba kwamba maandamano ya dini au ya kuisifu serikali ndo yanaruhusiwa tu ili tujue Hilo.Maandamano yasiyo na tija wacha yadhibitiwe tu. Amewaruhusu wafanye mikutano ya kisiasa lakini kutuletea ujinga wa maandamano kama ya Kenya HATUTAKI.
Hayo ndo maandandano ya kweli!Hakunaga maandamano ya kuisifia serikali au kuipetipetiMaandamano ya kuishinikiza Serikali
Kwaiyo mnataka shughuli za kiuchumi zisimame kisa nyie mnataka kuandamana?Swala la maandamano ni la kikatiba na Samia aliapa kulinda katiba tena akishika Quran kabisa. Iweje atake kuvunja kiapo chake tena kwa kulishirikisha jeshi waivunje pamoja...
Ndo katiba iliruhusu hivyo unless bunge ingefuta hicho kipengele ili tusiwe na gats zote za kusema katiba inavunjwa.Kwaiyo mnataka shughuli za kiuchumi zisimame kisa nyie mnataka kuandamana?
Kumbuka mkuu wa mkoa popote alipo anafanya kazi kwa niaba ya rais hawezi kufanya ya kwakeNaona siku hizi Mbowe kaacha kutumia chawa, sasa anatumia mende.
Mleta mada unaweza kuweka ushahidi kuwa ni wapi raisi Samia amevunja katiba kwa kukataa maandamano kufanyika ili na sisi tujiunge katika umende?
Mbona Magufuli alipiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa? Au umesahau haraka hivi?? Kama huwezi kutambua uungwana wa Samia kwenye hili wewe siyo mtu makiniNani karuhusu kufanya mikutano. Ni Samia au katiba? Kwani maandamano yaliyoruhusiwa na katiba ni maandamano Gani! Umeshawahi kuona maandamano ya kuisifia serikali eti ndo yanaruhusiwa? Nchi Gani! Na mbona haijaandikwa kwenye katiba kwamba maandamano ya dini au ya kuisifu serikali ndo yanaruhusiwa tu ili tujue Hilo.
Sasa ni wapi mkuu wa mkoa alikataza msiandamane?Kumbuka mkuu wa mkoa popote alipo anafanya kazi kwa niaba ya rais hawezi kufanya ya kwake
Ndo mana mungu alitoa adhabu ya kifo instantly mana aliapa kwa kushika biblia na akavunja katiba hiyo hiyo aliyoapa kaayo. Mungu hapendi katiba ivunjwe. Hata Samia akicheza mungu atafanya yake.Mbona Magufuli alipiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa? Au umesahau haraka hivi?? Kama huwezi kutambua uungwana wa Samia kwenye hili wewe siyo mtu makini
Sema hakuna mtu wa kuandamana labda wachache wasiozidi 10 ambao ni wala keki ya taifa kupitia ruzuku za chamaNdo katiba iliruhusu hivyo unless bunge ingefuta hicho kipengele ili tusiwe na gats zote za kusema katiba inavunjwa.
ChalamilaSasa ni wapi mkuu wa mkoa alikataza msiandamane?
Sijaomba jina la mkuu wa mkoa mkuu, nimeomba kauli ya kukataza maandamano.Chalamila
Acha ujinga.. hapa unazungumzia namna raisi alivyovunja katika, na namna maandamano yalivyozuiliwa, na mimi nahitaji fact namna hiyo katiba ilivyovunjwa, na namna hayo maandamano yalivyozuiliwa.Kwani una level Gani ya elimu mana nisiwe na hart na mtoto au zero brain