Pre GE2025 Kwani Rais Samia si aliapa kulinda Katiba? Maandamano ni HAKI ya Kikatiba

Pre GE2025 Kwani Rais Samia si aliapa kulinda Katiba? Maandamano ni HAKI ya Kikatiba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Acha ujinga.. hapa unazungumzia namna raisi alivyovunja katika, na namna maandamano yalivyozuiliwa, na mimi nahitaji fact namna hiyo katiba ilivyovunjwa, na namna hayo maandamano yalivyozuiliwa.

Swala la elimu utalianzishia mada yake baadae.
We unaelewa mana jeshi kuingia barabarani kuzoa condom siku nzima
 
Nendeni mkaandamane kwani shida ipo wapi wakuu? Ila mkiona familia zao hazipo mstari wa mbele ondokeni mapema.
 
Kwani sisi tunaandamana ili kumridhisha mbowe au matatizo yaliyopo nchini? Hata we ulipaswa kuungana na sisi kama lakini una akili timamu na una uchungu na nchi yako
 
Sasa jeshi kuzoa condom kuna ubaya gani? Kuna mtu aliambiwa asitoke nje mpaka jeshi limalize kuzoa condom?
Msikilze chalamila vizuri ndo mana nikaanza kuwa we ni mtoto au una level Gani ya elimu. Chalamila anasema kila mtu atasombwa hasa anayeandamana
 
Kwani sisi tunaandamana ili kumridhisha mbowe au matatizo yaliyopo nchini? Hata we ulipaswa kuungana na sisi kama lakini una akili timamu na una uchungu na nchi yako
Kama hauandamani kumridhisha Mbowe, kwanini uandamane siku aliyopanga yeye?

Kwanini usiandame kesho au keshokutwa?
 
Msikilze chalamila vizuri ndo mana nikaanza kuwa we ni mtoto au una level Gani ya elimu. Chalamila anasema kila mtu atasombwa hasa anayeandamana
Nimsikilize wapi? Mbona hauweki hayo maneno ili niyasikie?

Hivi nyinyi mnafikiri watanzania wa leo ni walewale wa miaka 15 iliyopita. Mlipata kiki kupitia Lowasa baada ya watanzania wa miaka ile kutokuwa na uwezo wa kuhoji wala kufikiria mambo vizuri. Sasa zama zimebadilika, kila utachoongea watu wataomba ushahidi ili wakuunge mkono wakiwa wamejiridhisha. Sio kuamka asubuhi na kuwambia ulichopanga na familia yako utegemee kila mtu atasema ndio baba.
 
Swala la maandamano ni la kikatiba na Samia aliapa kulinda katiba tena akishika Quran kabisa. Iweje atake kuvunja kiapo chake tena kwa kulishirikisha jeshi waivunje pamoja...
Kuandamana na kuongea na kutembea ni haki za kikatiba zenye masharti, yaani siyo absolute. Huwezi umtukane Rais useme ni uhuru wa maoni.

Huwezi kuziba barabara maandamano mie ufunge safari yangu. Kama kuna utaratibu lazima ufuatwe kwanza, mathalani kama siku hiyo ni ya usafi.
 
Swala la maandamano ni la kikatiba na Samia aliapa kulinda katiba tena akishika Quran kabisa. Iweje atake kuvunja kiapo chake tena kwa kulishirikisha jeshi waivunje pamoja. Hivi yeye isingekuwa kulinda katiba angekuwa raisi kweli mbeli ya maharamia akina majaliwa...
maandamano ya Amani ni haki ya waTanzania wote kikatiba!

lakini sio haya ya Nyumbu na panyarodi ya January 24 ya kuleta fujo mtaani, kupora bidhaa magengeni mwa watafutaji wavuja jasho, kuvunja na kuiba maduka ya watu, kuharibu aman, utaratibu wa kazi, shughuli na biaashara za wengine mtaani 🐒

Hawa Nyumbu na panyarodi hawana historia ya amani hata chembe!

wakijaribu ujambazi wao wawajibishwe bila huruma wala haya 🐒
 
Swala la maandamano ni la kikatiba na Samia aliapa kulinda katiba tena akishika Quran kabisa. Iweje atake kuvunja kiapo chake tena kwa kulishirikisha jeshi waivunje pamoja...
Mwanamke ni mwanamke. hawezi lolote kwa nchi zetu za kiafrika. hawezi ku resist pressure! mtu ni mmoja tu Nyerere ndiye alikuwa anajisimamia. All that followed were/are "takataka"!
 
Back
Top Bottom