We unaelewa mana jeshi kuingia barabarani kuzoa condom siku nzimaAcha ujinga.. hapa unazungumzia namna raisi alivyovunja katika, na namna maandamano yalivyozuiliwa, na mimi nahitaji fact namna hiyo katiba ilivyovunjwa, na namna hayo maandamano yalivyozuiliwa.
Swala la elimu utalianzishia mada yake baadae.
Nendeni mkaandamane kwani shida ipo wapi wakuu? Ila mkiona familia zao hazipo mstari wa mbele ondokeni mapema.
Kwani sisi tunaandamana ili kumridhisha mbowe au matatizo yaliyopo nchini? Hata we ulipaswa kuungana na sisi kama lakini una akili timamu na una uchungu na nchi yakoNendeni mkaandamane kwani shida ipo wapi wakuu? Ila mkiona familia zao hazipo mstari wa mbele ondokeni mapema.
Sasa jeshi kuzoa condom kuna ubaya gani? Kuna mtu aliambiwa asitoke nje mpaka jeshi limalize kuzoa condom?We unaelewa mana jeshi kuingia barabarani kuzoa condom siku nzima
Msikilze chalamila vizuri ndo mana nikaanza kuwa we ni mtoto au una level Gani ya elimu. Chalamila anasema kila mtu atasombwa hasa anayeandamanaSasa jeshi kuzoa condom kuna ubaya gani? Kuna mtu aliambiwa asitoke nje mpaka jeshi limalize kuzoa condom?
Kama hauandamani kumridhisha Mbowe, kwanini uandamane siku aliyopanga yeye?Kwani sisi tunaandamana ili kumridhisha mbowe au matatizo yaliyopo nchini? Hata we ulipaswa kuungana na sisi kama lakini una akili timamu na una uchungu na nchi yako
Hujitambui [emoji706][emoji706][emoji706]Nendeni mkaandamane kwani shida ipo wapi wakuu? Ila mkiona familia zao hazipo mstari wa mbele ondokeni mapema.
Nimsikilize wapi? Mbona hauweki hayo maneno ili niyasikie?Msikilze chalamila vizuri ndo mana nikaanza kuwa we ni mtoto au una level Gani ya elimu. Chalamila anasema kila mtu atasombwa hasa anayeandamana
Kuandamana na kuongea na kutembea ni haki za kikatiba zenye masharti, yaani siyo absolute. Huwezi umtukane Rais useme ni uhuru wa maoni.Swala la maandamano ni la kikatiba na Samia aliapa kulinda katiba tena akishika Quran kabisa. Iweje atake kuvunja kiapo chake tena kwa kulishirikisha jeshi waivunje pamoja...
maandamano ya Amani ni haki ya waTanzania wote kikatiba!Swala la maandamano ni la kikatiba na Samia aliapa kulinda katiba tena akishika Quran kabisa. Iweje atake kuvunja kiapo chake tena kwa kulishirikisha jeshi waivunje pamoja. Hivi yeye isingekuwa kulinda katiba angekuwa raisi kweli mbeli ya maharamia akina majaliwa...
Mwanamke ni mwanamke. hawezi lolote kwa nchi zetu za kiafrika. hawezi ku resist pressure! mtu ni mmoja tu Nyerere ndiye alikuwa anajisimamia. All that followed were/are "takataka"!Swala la maandamano ni la kikatiba na Samia aliapa kulinda katiba tena akishika Quran kabisa. Iweje atake kuvunja kiapo chake tena kwa kulishirikisha jeshi waivunje pamoja...