Kwani Simba SC hamuogopi Yanga hii?

Niogope nini? Kama msimu uliopita tulikua na kikosi kibovu akiwemo huyo chama ndo niogope leo? Kosi kosi...
Chama ndio alikuwa most active player wenu
 
Waulize Madrid, walikuwa na zidane,Ronaldo de Lima, Beckham, Figo,, Raul, salgado,

Ubingwa wa uefa champion ilikuwa ndotto 😁
 
Waulize Madrid, walikuwa na zidane,Ronaldo de Lima, Beckham, Figo,, Raul, salgado,

Ubingwa wa uefa champion ilikuwa ndotto [emoji16]
Basi walikosa professional coacher type ya Gamond
 
Alikua kama konokono kama mlivyokua mnamuita..leo kawa active? Kweli kunya anye kuku akinya bata kaharisha...
[emoji23][emoji23][emoji23] bila yeye .... champions ship msingetoboa
 
Midfielder haina balance anahitajika mtu mwingine pembeni ya Aucho. Kati ya chama na max mmoja anatakiwa kumpisha mudathir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…