OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Unajua sasa hivi kuna generation kama tano hivi?Escudo mbona ya kizamani Sana?
Swali langu ni hivi: hii ni gari yako ya Kwanza unataka kumiliki?
Escudo mbona ya kizamani Sana?
Swali langu ni hivi: hii ni gari yako ya Kwanza unataka kumiliki?
Wakuu hamjambo?!
Hivi nikivuta Suzuki Escudo nitakumbana na vipengele gani?
Kama kuna wakuu wanapinga Suzuki Escudo basi watoe maelekezo nichukue gari gani yenye size hiyo
Hujasema bajeti yako ila kama pesa sio issue chukua Suzuki Jimny 2022 pale CFAO Motors wapo Nyerere road. Hili wewe mwenyewe utachana karatasi, stick shift (manual transmission) ni Tshs. 63M wakati automatic transmission ni Tshs. 69M pamoja na kodi.
View attachment 2734702
Mie ninayo J24, mannual ni cc 2,400 inanipa average ya 10-12 km/L.Kwa kifupi model ambayo nina uzoefu nayo kidogo ni hizi za 2005 - 2010. Zina specifications tofauti ila nitakuambia machache nayojua
Advantages
1. Ni gari ngumu, himilivu kuanzia body mpaka engine (uzoefu wangu engine za petrol J20 ya 2000cx na J24 ya 2400cc
2. Ni gari inayotulia barabarani, nzito, ina steering nzuri (precise) na haikupi mawazo ya uoga ukiie desha
3. Spare zipo na ni rahisi kufanya service
Disadvantages
1. Si gari yenye nguvu/kasi sana (hizi zenye cc2000)
na zile za 2400cc zina nguvu ila fuel consumption si nzuri sana kwa sababu ni 4 speed automatic.
Manual ni 5 speed na zinaweza zikakupa perfomance nzuri zaidi
2. Si gari comfortable sana (lakini si mbaya hata kidogo). Wind noise na engine noise zinaingia ndani kwa urahisi kiasi.
Nikikumbuka nyingine nitaongezea. Kama mtu una 25-28m na unaka SUV ambayo si pasua kichwa, imara na madhubuti, hii si chaguo baya hata kidogo
Mie ninayo J24, mannual ni cc 2,400 inanipa average ya 10-12 km/L.
Disadvantage. Leg room ya sit za nyuma ni ndogo.
Stability sio nzuri, speed zaidi ya 170km/hr sio salama.
Dash board in 220km/hr kuzifuta lazima uwe na roho ngumu
Asante mkuuKwa kifupi model ambayo nina uzoefu nayo kidogo ni hizi za 2005 - 2010. Zina specifications tofauti ila nitakuambia machache nayojua
Advantages
1. Ni gari ngumu, himilivu kuanzia body mpaka engine (uzoefu wangu engine za petrol J20 ya 2000cx na J24 ya 2400cc
2. Ni gari inayotulia barabarani, nzito, ina steering nzuri (precise) na haikupi mawazo ya uoga ukiie desha
3. Spare zipo na ni rahisi kufanya service
Disadvantages
1. Si gari yenye nguvu/kasi sana (hizi zenye cc2000)
na zile za 2400cc zina nguvu ila fuel consumption si nzuri sana kwa sababu ni 4 speed automatic.
Manual ni 5 speed na zinaweza zikakupa perfomance nzuri zaidi
2. Si gari comfortable sana (lakini si mbaya hata kidogo). Wind noise na engine noise zinaingia ndani kwa urahisi kiasi.
Nikikumbuka nyingine nitaongezea. Kama mtu una 25-28m na unaka SUV ambayo si pasua kichwa, imara na madhubuti, hii si chaguo baya hata kidogo
Hapo parefu mkuu. Yangu inaishia 30m tuHujasema bajeti yako ila kama pesa sio issue chukua Suzuki Jimny 2022 pale CFAO Motors wapo Nyerere road. Hili wewe mwenyewe utachana karatasi, stick shift (manual transmission) ni Tshs. 63M wakati automatic transmission ni Tshs. 69M pamoja na kodi.
View attachment 2734702
Ya mwaka gani?Wakuu hamjambo?!
Hivi nikivuta Suzuki Escudo nitakumbana na vipengele gani?
Kama kuna wakuu wanapinga Suzuki Escudo basi watoe maelekezo nichukue gari gani yenye size hiyo
Escudo mbona ya kizamani Sana?
Swali langu ni hivi: hii ni gari yako ya Kwanza unataka kumiliki?
Wakati mimi nalima miraba nipate buku ya kula, kuna mtu anatoa 63m ili anunue hako ka gari.Hujasema bajeti yako ila kama pesa sio issue chukua Suzuki Jimny 2022 pale CFAO Motors wapo Nyerere road. Hili wewe mwenyewe utachana karatasi, stick shift (manual transmission) ni Tshs. 63M wakati automatic transmission ni Tshs. 69M pamoja na kodi.
View attachment 2734702
Binafsi hili gari nalipenda zaidi likiwa hivi hivi na sio hicho kituko wahindi walichokifanya.India zipo nyingi za milango mitano. Zile naona ni nzuri zaidi. Hii na kwa bei yake ni lazima uwe uneamua kweli kweli, ina kimitations nyingi ukiacha faida ya upya na fuel consumption
Binafsi hili gari nalipenda zaidi likiwa hivi hivi na sio hicho kituko wahindi walichokifanya.
Mie ninayo J24, mannual ni cc 2,400 inanipa average ya 10-12 km/L.
Disadvantage. Leg room ya sit za nyuma ni ndogo.
Stability sio nzuri, speed zaidi ya 170km/hr sio salama.
Dash board in 220km/hr kuzifuta lazima uwe na roho ngumu
Mkuu, kuna jamaa yangu ana J24 (Auto) lakini inampa 5km/l shida itakua nini.
Plug kaweka OG, O2 sensors kabadili na kafanya full service including kubadili Gearbox oil
Una jamaa mtaalam wa hizi gari anaweza mchekia na kumwambia nini cha kubadili? Nlimwekeza kwa fundi ambae kashindwa tatua tatizo