Kwani Suzuki Escudo ina shida gani wakuu?!

Mkuu vipi kuhusu Escudo yenye engine ya j20, cc2000 na gearbox ya manual 5 speed ukilinganisha na cc 2400. İpi nzuri kwenye reliability, fuel consumption nk
 
Mie ninayo J24, mannual ni cc 2,400 inanipa average ya 10-12 km/L.

Disadvantage. Leg room ya sit za nyuma ni ndogo.
Stability sio nzuri, speed zaidi ya 170km/hr sio salama.
Dash board in 220km/hr kuzifuta lazima uwe na roho ngumu
kwa barabara zetu hizi ukitembea zaidi ya km 140/hr unajitafutia matatizo tu
 
Mkuu vipi kuhusu Escudo yenye engine ya j20, cc2000 na gearbox ya manual 5 speed ukilinganisha na cc 2400. İpi nzuri kwenye reliability, fuel consumption nk
J20 yenye 5 speed manual inakula mafuta vizuri zaidi hasa ukibadili gear vizuri (kwa sababu una control gear changes).
Bado ya cc2400 itakuwa na nguvu zaidi ila zote ni very reliable.
 
Kama yupo Arusha Kuna mtaalam anaweza kumsadia.
Hiyo consumption sio kabisa lazima Kuna kitu hakipo sawa. Hata ukiangalia reviewers mtandaoni hiyo gari haliwezi kula Mafuta hivyo, hata Ile yenye cc 3,500 inaenda 8-10 km/L
 
Sawa Sawa. Vipi kuhusu mwendo?! Inaetembea?
 
Lakini kwa hii
Kama yupo Arusha Kuna mtaalam anaweza kumsadia.
Hiyo consumption sio kabisa lazima Kuna kitu hakipo sawa. Hata ukiangalia reviewers mtandaoni hiyo gari haliwezi kula Mafuta hivyo, hata Ile yenye cc 3,500 inaenda 8-10 km/L
Lakini kwa hiyo engine, kama anakaa sana kwenye foleni na gari si mpya sana inaweza kumpa 7-8km/l Max. Pengine 5km/l ni mbaya so acheki na huo ushauri wa juicheki gari kwanz
 
Kuna baadhi ya watu kufanya hesabu ya consumption ya Mafuta hawawezi so wanakosea halafu anakuja na wrong conclusion. Anaweka Mafuta ya 10K hata taa haizimi alafu nanaleta malalamiko kuwa gari inakula Mafuta.
 
J20 haina mwendo. Kwa hiyo kama unaipenda sana hiyo gari na unataka mwendo bora uchukue J24
Nimecheki baadhi ya review kuhusu ya J24, hizi engine zina tatizo ya head gasket kutanuka.

Nadhani option nzuri ni J20 with 5 speed manual gearbox for both fuel consumption and performance
 
Kama plan Yako ni kuja kuliuza utapata shida sana kupata mteja wa Mannul. Hawa madereva wa 2000 three pedal ni mtihani.

Uzuri wa Mannul hakuna atakae kuja kuazima gari Yako.
 
kuuza ni kipengele ila sijali sana. Option ya manual ni nzuri cause inakuja na gear tano wakati auto ni gear nne tu.

Inakua kama harrier 2nd generation. Gari kubwa engine ndogo 2az na gearbox in ratio ndogo.

Halafu kutokana na uzoefu wangu nafikiri gari ikiwa na engine ndogo inakua nyepesi zaidi ikiwa na gearbox ya manual kuliko auto.
 
Wakipata ajali utasikia ajali haina kinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…