Miti yoyote yenye mizizi inayosambaa na minene inayoweza kujongea umbali mrefu huwa sio rafiki sana kwa barabara na pia wakati mwingine kuipanda karibu kabisa na nyumba yako labda hiyo inaweza kuwa pengine ni sababu ya hiyo miti unayoitaka wewe kutopandwa barabarani.Wadau nakumbuka kipindi cha zamani posts kulikuwa na miti ya mikungu kila kona mpk maeneo ya osterbay hadi baadhi sehemu za masaki.ukienda morogoro kuna barabara ina miembe dodo pande zote yaaani kulikuwa na miti ya matunda barabarani kwanini hii isiwe moja ya taratibu kuliko hii miti ya kizungu faida take moja tu kivuli mfano nimeenda nchibza kiarabu nuingi barabarani wamepanda mitende hii naona inafaa yaani at a minazi kipemba inafaa tu kuliko hii miti langubwazo tu asanteni
Labda tupande matunda jamii ya michungwa.
Panda minazi halafu ikianza kuzaa uje utuambie hivyo vioo vya magari vitasamilika vipi. Actually kupaki gari chini ya miti ya matunda ni risky sana, tawi la mnazi likikatika linaweza kuharibu gari yako na safari ikaishia hapo.
Well Said. Nilienda Marakhesh Morocco kila mti Barabarani ni Ndimu, Limau au Chungwa au Chenza. Ukiagiza Juice hotelin ni full Citrus fruits hadi Raha. Huku ni Mwarobaini, palm trees ambazo hata mbao hazivunwi. Hivi hawa Viongozi wanaosafiri kwenda nje ya Nchi huleta Elimu gani ya nje? Bora Mzee Karume alileta Flat za Michenzani na hotel ya Bwawani.Wadau nakumbuka kipindi cha zamani posts kulikuwa na miti ya mikungu kila kona mpk maeneo ya osterbay hadi baadhi sehemu za masaki.ukienda morogoro kuna barabara ina miembe dodo pande zote yaaani kulikuwa na miti ya matunda barabarani kwanini hii isiwe moja ya taratibu kuliko hii miti ya kizungu faida take moja tu kivuli mfano nimeenda nchibza kiarabu nuingi barabarani wamepanda mitende hii naona inafaa yaani at a minazi kipemba inafaa tu kuliko hii miti langubwazo tu asanteni
Jiongeze mkuu hiyo miti ya matunda itapandwa pembeni sana mwa barabara.. Alafu ikumbukwe kitu njaa haswa kipindi cha itakuwa historiaFikiria embe dodo au fenesi limemuangukia mtu au limeangukia kioo cha mbele cha gari!
Fuatilia miembe inavyo katika matawi au inavyo anguka ovyo wakati wa vuli au masika...
Wakienda huenda kushangaa na kula bata tu,hayo ya kujifunza hawana moango nayo.Well Said. Nilienda Marakhesh Morocco kila mti Barabarani ni Ndimu, Limau au Chungwa au Chenza. Ukiagiza Juice hotelin ni full Citrus fruits hadi Raha. Huku ni Mwarobaini, palm trees ambazo hata mbao hazivunwi. Hivi hawa Viongozi wanaosafiri kwenda nje ya Nchi huleta Elimu gani ya nje? Bora Mzee Karume alileta Flat za Michenzani na hotel ya Bwawani.