Kwa sasa madirisha ya 'kisasa' ni hayo uliyotaja, kama unataka tutoke hapa basi buni mapya tupige hatua.
Ila sababu zako ulizotumia kuyaponda ni dhaifu mno, huenda tu huzitaki mbNinadhani unaleta ushabiki maandazi.
Huu ni ushabiki maandazi.
Mara nyingi type yako ni zile za kukalia tako moja huku unatype. Ni vigumu kuwa na hoja ama kusaidia. Wewe tayari...Mbona unateseka, endelea kutumia nyavu au magunia…. you just got to hate what you can’t conquer!!
Ngoja tukutekenye basi, ni kweli hayo madirisha HAYAFAI…. hicho ndo unataka kusikia.
Kwamba ukifungua ile space iliyofunguka ni ndogo kulingana na madirisha mbadala?Kwa sasa madirisha ya 'kisasa' ni hayo uliyotaja, kama unataka tutoke hapa basi buni mapya tupige hatua.
Ila sababu zako ulizotumia kuyaponda ni dhaifu mno, huenda tu huzitaki mbichi hizi…!!
Sio hazitaki tatizo uwezoKwa sasa madirisha ya 'kisasa' ni hayo uliyotaja, kama unataka tutoke hapa basi buni mapya tupige hatua.
Ila sababu zako ulizotumia kuyaponda ni dhaifu mno, huenda tu huzitaki mbichi hizi…!!
Huna hela weweMleta Uzi una point sana aisee wewe ni peponi moja kwa moja now kwangu nimeweka grill tu nimetia na nyavu basi kwa sasa kwani kuna jirani yangu kayaweka anapata tabu sana fikiria umeiweka dirisha la 5×5 ukiweka hayo madrisha maana yake dirisha linakuwa 2.5
Endelea kujidanganyaHuna hela wewe
Bora hata umsaidie huyo. Akili yake inamuwezesha kurudi nyumbani tu kama kuku. Wala hayajui hayo madirisha ninadhani. Shukrani sana ndugu.Kwamba ukifungua ile space iliyofunguka ni ndogo kulingana na madirisha mbadala ?
Unaona hio point ni duni ?; Kwanza Faida ya Dirisha au umuhimu wa Dirisha ni nini ?
Ukijibu hayo utaona mleta uzi ana point ya maana sana...
Hapo shida ni kwamba mbu wote wanahamia ndan..
Yanaingizaje mbu?madirisha ya kipumbavu sana hayo, kunyima hewa, kuingiza mbu just kwa ajili ya show-off
nimeweka madirisha ya wavu, nakula hewa safi kabisa