Kwani ukisema ukweli kuna nini bana??. . . .

Kwani ukisema ukweli kuna nini bana??. . . .

Vaislay,hongera sana kama ni kweli!
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi kumpata wa kumlinganisha na mke wangu. Hakuna aliyewahi kuvunja record ya kunipa raha kama ile ninayopata kwa ma wife. Hapa siongelei sura na ukubwa wa masaburi, naongelea tabia za jumla.
Tuko pamoja hapo.
 
ah mimi majuto yapo tena natamani hata kumtoa hapa duniani ila uwezo huo sina ingawa kwasasa kutokana na aliyonifanyia yalikuwa changamoto na nimeweza kuzikabili sasa zimekuwa mafanikio.
 
Mmmh.Mi hata salam sintampatia,ndo ajifanye sa ananitokea atajutia uamuzi wake na yule nilie mchukia kuliko wooote tampatia nafasi ya kwanza.Bt kwakua ni imagination ngoja nibakie kwenye reality yangu
 
ah mimi majuto yapo tena natamani hata kumtoa hapa duniani ila uwezo huo sina ingawa kwasasa kutokana na aliyonifanyia yalikuwa changamoto na nimeweza kuzikabili sasa zimekuwa mafanikio.

Pole sana,tunakumbushana tu!
 
Mmmh.Mi hata salam sintampatia,ndo ajifanye sa ananitokea atajutia uamuzi wake na yule nilie mchukia kuliko wooote tampatia nafasi ya kwanza.Bt kwakua ni imagination ngoja nibakie kwenye reality yangu

Pole sana,sahau na songa mbele!
 
Kuna watu wanatamani siku zirudi nyuma wasahihishe makosa waliyotenda.Sasa nakuuliza,je huyo mkeo/mumeo unajuta kuwa nae,huyo mchumba wako unajuta kumchumbia/kuchumbiwa nae?Vipi kama siku zikirudishwa nyuma ungekubali kujihusisha nae au ungepita mbali hata usingetaka salam yake?Sema ukweli tu. . . . . . .!!

Tupe ukweli kwanza kutoka kwako.
 
Kuna gals wawil ctaki hata kuwaskia tena maishan mwangu,nadiriki kusema walikua nuksi ya maisha yangu.
 
Ilinitokea muda mrefu nyuma kwa bidada mmoja ambaye alisababisha mpaka hisia za mapenzi zikafa ndani yangu, si kwake tu bali kwa kila binti niliyemtizama na nilitamani kusingekuwa na jinsia ya kike dunia hii,bahati nzuri kwa msaada wa madaktari na wataalamu wa saikolojia nimeanza tena kujifunza kupenda ..
 
Back
Top Bottom