Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko pamoja hapo.Sijawahi kumpata wa kumlinganisha na mke wangu. Hakuna aliyewahi kuvunja record ya kunipa raha kama ile ninayopata kwa ma wife. Hapa siongelei sura na ukubwa wa masaburi, naongelea tabia za jumla.
Mmmh.Mi hata salam sintampatia,ndo ajifanye sa ananitokea atajutia uamuzi wake na yule nilie mchukia kuliko wooote tampatia nafasi ya kwanza.Bt kwakua ni imagination ngoja nibakie kwenye reality yangu
Kuna watu wanatamani siku zirudi nyuma wasahihishe makosa waliyotenda.Sasa nakuuliza,je huyo mkeo/mumeo unajuta kuwa nae,huyo mchumba wako unajuta kumchumbia/kuchumbiwa nae?Vipi kama siku zikirudishwa nyuma ungekubali kujihusisha nae au ungepita mbali hata usingetaka salam yake?Sema ukweli tu. . . . . . .!!
Haya bana wacha nifunge bakuli langu!