Mbwilimbwili
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 183
- 282
Wazima humu, hivi ni mimi nipo nyuma ukilinganisha na vijana wenzangu au ni vp?
Mfano, miaka fulani nilikua nafanya kazi kwenye kampuni moja hivi nilikua nina utaratibu kila nikishuka kituoni nanunua zangu gazeti daily news au the citizen, mwananchi n.k naenda zangu ofisini, likini nikifika wananishangaa wananiponda kutumia hela yangu kununua magazeti (swaga za kizee).
Mimi ni msikilizaji wa radio na natizama tv kupata daily updates, hii imekua inanifanya tukiwa pamoja na wana wanaona nazingua, wanapendelea zaidi movies, vituko.
Nikikaa na wenzangu nikisema tujadili issuses kuhusiana na michakato yetu ya kila siku na progress unaona kabisa watu wanakua kama wanyonge hivi, ila tukipiga stori za misambwanda, minyanduano, man u, Simba na Yanga, Feysal, Konde boy hapo tutaongea mpaka asubuhi.
Sasa najiuliza mimi nakwama wapi labda ili niende na kasi ya washikaji?