Uko kama mm mkuu,
Ila mm namshukuru Mungu marafiki zangu wengi ni watu wazima(siyo rika langu), na ndiyo tunaongea na kuelewana,
Na hata ajira yangu ya kwanza nilipata haraka sana kupitia haohao wazee, nahisi kwakua waliamini haka kajamaa kako vizuri
Hata kwenye gari yangu playlist ni nyimbo za wazee wetu na zile za ukomboz, mfano, Ife ana FRELIMO, Tiyende Pamodzi, Tanzania yetu ndiyo nchi ya furaha n.k
Sasa sijui nimezeeka kabla ya wakati yaani sijui[emoji3]
Ila mademu hata sisi kuna wakati huwazungumzia, maana ni kama Ndoige