Kukata mauno ubongo flevaVijana wa bongo mawazo yao ni ngono na kubet.
Ukiwa tofauti na wao tu utasemwa mpaka.
Wewe endelea na maisha unayohisi yanakufaa
hapana mkuu, ni fikra zako ziko mbele zaidi hata ya rika ulilo naloUko kama mm mkuu,
Ila mm namshukuru Mungu marafiki zangu wengi ni watu wazima(siyo rika langu), na ndiyo tunaongea na kuelewana,
Na hata ajira yangu ya kwanza nilipata haraka sana kupitia haohao wazee, nahisi kwakua waliamini haka kajamaa kako vizuri
Hata kwenye gari yangu playlist ni nyimbo za wazee wetu na zile za ukomboz, mfano, Ife ana FRELIMO, Tiyende Pamodzi, Tanzania yetu ndiyo nchi ya furaha n.k
Sasa sijui nimezeeka kabla ya wakati yaani sijui[emoji3]
Ila mademu hata sisi kuna wakati huwazungumzia, maana ni kama Ndoige
nakubali mkuu, madogo sas hivi wamejaa ujinga mwingi kupenda vitonga na ujingaSisi enzi zetu tulikuwa tunapeana michongo ya kuzamia tu na dili za
Nje ya nchi
Vijana siku hizi wakikaa wao kutwa kuzungumzia matamasha ya wasanii na maisha yao,umbea,udaku
Ndomana kizaz cha vijana wa sasa kuna mashog wengi
Ova
ni keli sio wote, ila wengi niliokutana nao mimi hali ndio kama hiyoHapana kaka tumetofautiana ,tupo tunaoumiza vichwa tutatoboaje kwenda mbele huko.kaka siwote ni wajinga
mkuu me mwenyewe naganga njaa tuMkuu nipe connection nikuoneshe kuwa tupo tunaohitaji