Fundi Madirisha
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 184
- 988
Kuna mambo ya ajabu sana ndani ya taifa hili, hivi bado kuna la kujiuliza kuhusu walinzi wa Mbowe ambao tunaambiwa nao wana tuhuma ya kesi ya Ugaidi?
Si ndio huyu huyu Sabaya wanaosema kwamba alikuwa anataka kuuawa na ndio yeye aliwakamata?
Yaani Sabaya huyu huyu akakamate waliotaka kumuua na kisha wapewe kesi ya ugaidi?
Nani asiyejua kuwa Sabaya walivamia usiku usiku alikolazwa Freeman Mbowe na kisha kuondoka na walinzi wake kisha baadae kuwapa kesi ya kutaka kumuua yeye?
Yaani huyu huyu Sabaya mwenye kesi ya uporaji mahakamani ndio alitaka kuuawa?
Haya maneno yake nani ayaamini?
Shahidi awe Ole Sabaya huyu huyu huyu tunayemjua?