Kwani, Walinzi wa Mbowe si walikamatwa na Sabaya mwenyewe? Inafikirisha sana

Kuna mambo ya ajabu sana ndani ya taifa hili, hivi bado kuna la kujiuliza kuhusu walinzi wa Mbowe ambao tunaambiwa nao wana tuhuma ya kesi ya Ugaidi?

Si ndio huyu huyu Sabaya wanaosema kwamba alikuwa anataka kuuawa na ndio yeye aliwakamata?

Yaani Sabaya huyu huyu akakamate waliotaka kumuua na kisha wapewe kesi ya ugaidi?

Nani asiyejua kuwa Sabaya walivamia usiku usiku alikolazwa Freeman Mbowe na kisha kuondoka na walinzi wake kisha baadae kuwapa kesi ya kutaka kumuua yeye?

Yaani huyu huyu Sabaya mwenye kesi ya uporaji mahakamani ndio alitaka kuuawa?

Haya maneno yake nani ayaamini?

Shahidi awe Ole Sabaya huyu huyu huyu tunayemjua?
Kesi hii itaweka rekodi kwa kudhalilisha serikali , Subiri
 
Chawa wa Mbowe mnawashwawashwa
Kumbe chawa na we wa na?ni?

FB_IMG_1627178763635.jpg
 
Kuna mambo ya ajabu sana ndani ya taifa hili, hivi bado kuna la kujiuliza kuhusu walinzi wa Mbowe ambao tunaambiwa nao wana tuhuma ya kesi ya Ugaidi?

Si ndio huyu huyu Sabaya wanaosema kwamba alikuwa anataka kuuawa na ndio yeye aliwakamata?

Yaani Sabaya huyu huyu akakamate waliotaka kumuua na kisha wapewe kesi ya ugaidi?

Nani asiyejua kuwa Sabaya walivamia usiku usiku alikolazwa Freeman Mbowe na kisha kuondoka na walinzi wake kisha baadae kuwapa kesi ya kutaka kumuua yeye?

Yaani huyu huyu Sabaya mwenye kesi ya uporaji mahakamani ndio alitaka kuuawa?

Haya maneno yake nani ayaamini?

Shahidi awe Ole Sabaya huyu huyu huyu tunayemjua?
Nawewe ni walewale.. Gaidi umekuwa Jaji tokea lini
 
Hivi sabaya inamaana huko Hai na Moshi hakufanya vituko Kama vya Arusha? Au wanasubiria hukumu ya Arusha ikishatolewa akifika mlangoni wamdake akasomewe kesi nyingine za Mkoa wa Kilimanjaro.

Wachaga na msemo wao "mbuta" na akuje huku! Wakwe zangu msikubali akitoka kisongo anahamia karanga.
Alikuwa anakaa ARUSHA kule kuna washamba wanajiita chuga
 
Back
Top Bottom