Kwani wanawake mnataka nini?

Kwani wanawake mnataka nini?

mpige mimba watoto interval ya mwaka mmojamoja mpaka 06 na yeye atakuwa busy kuliko wewe ,then utakuw free jamaa.....
Sema nishaamua kumpiga chini mkuu
 
Kuna watu mnajishaua tu hapa kujaza wenzenu ujinga!! Mtoa mada inaonekana huyo mtu wako hakuwa busy na Chochote,hivyo anapokuwa hana cha kumuweka busy ni lazima tu upweke wake ataamua aumalize kwako. Kama ni mtu ambae una future nae,mtafutie Kazi ya kufanya au biashara ambayo itamkeep busy hivyo hatakulalamikia tena!!,. Wanaokushauri kuwa Mwanamke haeleweki ni waongo! Mama zao walielewana vipi na baba zao??? Punguza Hasira,mrudie Mpendwa wako
 
Sawa mkuu nimekuelewa Sana but sizan my dear
 
Mkuu "ukiona umeanza kuwaelewa wanawake ujue Israel anakaribia kutoa roho Yako",
ni Bora ulivyosema kua umuelewi Israel atakuacha kabisa hatokugusa

Wanawake hawajuagi wanataka nn
 
Embo kunywa maji mengi kwanza mbona umekasirika sana kama vile kuna mtu unaongea naye hapa
 
Mkuu "ukiona umeanza kuwaelewa wanawake ujue Israel anakaribia kutoa roho Yako",
ni Bora ulivyosema kua umuelewi Israel atakuacha kabisa hatokugusa

Wanawake hawajuagi wanataka nn
[emoji3][emoji3][emoji3] daah kweli mkuu Hawa nihatar kwa afya ya binadamu wa kiume
 
Mi huwa nikilala nikiamka hasira zimeshaisha nakuwa mweupee rohoni ila mbaka nilale lakin
Sawaa I hope ulilala vizuri usiku umeamka Leo upo vizuri kuendelea na majukumu yako.
 
Wanawake wote hawako sawa, acheni ku generalize.

Na ukiona humuelewi mwanamke, labda wewe ndiye una tatizo umekosea kuchagua, hujachagua mwanamke unayemuelewa.
 
Back
Top Bottom