knows
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,453
- 2,234
- Thread starter
- #161
Daah ni baadhi bhana mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]Ndiyo hicho kisicho eleweka, sasa mtu yupo nyumbani muda wote ni laptop, TV muda wa kuongea na mwenza hakuna wanakutana kitandani saa 5, na ukute shughuli yenyewe mbofu mbofu, malalamiko lazima yawepo, mwingine akifika kitandani dakika 2 nyingi anakoroma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]