Daah ni baadhi bhana mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]Ndiyo hicho kisicho eleweka, sasa mtu yupo nyumbani muda wote ni laptop, TV muda wa kuongea na mwenza hakuna wanakutana kitandani saa 5, na ukute shughuli yenyewe mbofu mbofu, malalamiko lazima yawepo, mwingine akifika kitandani dakika 2 nyingi anakoroma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] daah nashutiwa tena badala ya kunionea huruma kha people are not people for sureUnakuta baba hata mda wa kupiga story na mwanae hana..mke hana!
Tenga basi hata siku mbili off ipe familia hizo siku, soma kitabu na mwanao,ongea mipango yenu na mkeo.
Mtu dizaini ya mtoa mada ndio hao
Mmh sio wote ,Mkuu in short mwanamke haridhiki
Mkuu acha tu ndomana nimechefuka Sana juu ya hili jamboWanawake hawataki mtu asiye na hela, au asiyeweza kutimiza mahitaji yao, LAKINI WAKATI HUO HUO HAWATAKI MTU ALIYE BUSY SANA..!!! Sasa nyokoli hawa sijui hawajui kuwa huwezi kupata hela bila kuwa bizeeee..!!! WANACHEFUA SANA
Anataka umpe muda na pesa.Kuna vitu vina kera na kuumiza mkuu acha tu ndoivo sinajinsi
mpige mimba watoto interval ya mwaka mmojamoja mpaka 06 na yeye atakuwa busy kuliko wewe ,then utakuw free jamaa.....Mpige mimba na akizaa baada ya miezi nane mpige nyingine mpaka achokeee na atatulia tu