Kwani wizkid anamshinda nini Diamond?

Kwani wizkid anamshinda nini Diamond?

Babanla ana CV kubwa Duniani kuliko ndugu yetu wa Mbagala
EyVVfKDXEAQmTtd.jpg
 
Anamopita mond starboy alishapita kitambo, mond anavopambana kwenda international Wizkid huko ndo home sasa
 
Mondi anazidiwa kila kitu na Wizkid,kuanzia Kwenye fan base,hit songs,views z video na pesa
Hii thread ilitakiwa iishie hapa, fanbase ndio inabeba watu wa west, nyimbo zao zina watu na watu ndiyo jina.....

West africa na marekani wana connection kubwa.....

Fanbase inazaa views, pesa na song zinakuwa popular hit songs
Factor ni popularity......soko alipo wizkid or location yake alipo....mond angekuwa mnigeria ange hit sana....

See burnboy, davido, rema, etc wana hit kisa ya location yao.
 
Genre ambayo wiz anaimba(afrobeats) ina mashabiki wengi kuliko genre anayoimba mondi(bongo flava)

Na kwa vile wiz ni msanii mkubwa sana kwenye afrobeats, basi lazima awe mashuhuri kuliko mondi.
Mond haimbi bongo fleva siku hizi anaunganisha stail za kinaija na amapiano kwa sanaaa
 
tatizo wako ktk platform 2 tofauti.Nigeria ni ma_giant wa hii biashara,bongo ndio tunajikongoja.
 
tatizo wako ktk platform 2 tofauti.Nigeria ni ma_giant wa hii biashara,bongo ndio tunajikongoja.
 
tatizo wako ktk platform 2 tofauti.Nigeria ni ma_giant wa hii biashara,bongo ndio tunajikongoja.
 
Back
Top Bottom