Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

Hawa wazanzibar wanatukanyaga kichwani ,hili clip inatakiwa tuwarudishie majibu ! Kama wameuchoka muungano nao waondoke kwetu ! Hii clip ingekuwa huyo anaepigwa ni mzanzibar mambo yangekuwa si mambo lazima wangelipiza kwa kuwapiga watu wetu huko
 
Hawa watu ni wabaguzi sana. Mioyo yao imejaa na kusheheni chuki za wazi dhidi ya watu wa bara.

Na jinsi walivyojazana huku bara siku muungano ukivunjika sijui watajificha wapi
Siku yao ipo ,...................
 
Hii ni kweli kabisa haya hapa chini ni baadhi ya hayo matukio na wanaoyafanya ni Polisi..

Zanzibar ni nchi ya KIISLAM Tanganyika ni Nchi ya kikristo




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…