Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Nazani hao jamaa hawajawi kutoka nje ya zanzibari hawana exposure yoyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio shidaNazani hao jamaa hawajawi kutoka nje ya zanzibari hawana exposure yoyote
Mwarabu mwenyewe wa Riyadhi kafungua Bar watu wanywe.Ujinga wa mtu mweusi kupigania dini ya mwarabu.
Na ndio maana siku zote waarabu hutudharau na kutuchulia kama vijakazi/watumwa
Hizi ni chuki za kufundishwa.Nazani hao jamaa hawajawi kutoka nje ya zanzibari hawana exposure yoyote
Siku yao ipo ,...................Hawa watu ni wabaguzi sana. Mioyo yao imejaa na kusheheni chuki za wazi dhidi ya watu wa bara.
Na jinsi walivyojazana huku bara siku muungano ukivunjika sijui watajificha wapi
Wapuuzi tu wanajifanya wameshika Dini wakati mashoga na upuuzi wa kufokoa wake zao macho wanaongozaNazani hao jamaa hawajawi kutoka nje ya zanzibari hawana exposure yoyote
Hizi ni chuki za kufundishwa siyo siasa.Hawawezi kuwakaripia kipindi hiki cha Uchaguzi......huzijui siasa za Tz?
Siku yao ipoooHizi ni chuki za kufundishwa.
Siku yao yajaWapuuzi tu wanajifanya wameshika Dini wakati mashoga na upuuzi wa kufokoa wake zao macho wanaongoza
Umeshawahi kuishi Zanzibar?Hizi ni chuki za kufundishwa siyo siasa.
Nani ! Waislamu au ??!!Siku yao ipooo
Hii ni kweli kabisa haya hapa chini ni baadhi ya hayo matukio na wanaoyafanya ni Polisi..Nimeona klipu Moja ya kusikitisha Leo asubuhi ! Baba mmoja mtu mzima anacharazwa bakora mbele za watu kwa kuwa tu yeye hajafunga! Hilo halijanishtua Sana kilicho nisikitisha ni maneno ya wazanzibar kwa mtu huyu Ambae kwa haraka haraka nimegundua mi mzee wa makamo! Maneno kama huku sio bara ,huku sio kwenu ,nyinyi wa bara si mna kwenu ? Hayo maneno yamenifanya nifikirie mara mbili kuhusu Ninani hasa anautaka muungano?