Kisesetusese
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 393
- 615
Ni kweli kwamba kuna watu maarufu duniani, hata wana historia wanalifaham hilo. Wapo watu wengi maaruf mno kuliko hata 2pac lkn je kwann yeye kwenye t-shirt nk?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu vipi na NETANYAHU? 😆👆🏿Hata Che Guevara anaonyeshwa sana kwenye mavazi,
Ukiona hivyo,ujue anapendwa na wahusika.
Amelewa huyoMkuu vipi na NETANYAHU? 😆👆🏿
Dear Mama.Ni kweli kwamba kuna watu maarufu duniani, hata wana historia wanalifaham hilo. Wapo watu wengi maaruf mno kuliko hata 2pac lkn je kwann yeye kwenye t-shirt nk?