Kisesetusese
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 393
- 615
Mkuu vipi na NETANYAHU? πππΏHata Che Guevara anaonyeshwa sana kwenye mavazi,
Ukiona hivyo,ujue anapendwa na wahusika.
Amelewa huyoMkuu vipi na NETANYAHU? πππΏ
Dear Mama.Ni kweli kwamba kuna watu maarufu duniani, hata wana historia wanalifaham hilo. Wapo watu wengi maaruf mno kuliko hata 2pac lkn je kwann yeye kwenye t-shirt nk?