Kwanini 90% ya Maafisa wa Vyeo vya Juu wa JWTZ Wakistaafu Ugonjwa wao mkubwa huwa ni 'Stroke: tu?

Bujibuji Simba Nyamaume katika Mitaa yako ya Mbezi Beach ( hasa usawa wa Kona Baa ) nyuma ya Nyumba ya Marehemu Mzee Kitundu

Pembeni ya duka la marehemu mzee Nyengombili, karibu na kiwanja cha kina Zube ambacho walikuwa wanakigombania na watoto wa marehemu Mzee Hamisi mpaka marehemu mzee Ramoza akaingilia kati, mkabala na mgahawa wa marehemu shekhe Ngwasuma
 
Kazi ya mititi mititi ,mazoezi,mabio marefu,drill nyingi,na vurugu zote,ukistafu harafu ukajisahau lazima jambo likukute.Maumivu yote ya ujanani ukizeeka yanaanza kujiibua upya,kama ulivunjika mguu utaanza taratibu kuusikia mguu hata kama ulikuwa ushapona miaka 30 iliyo pita.

Mazoezi ni chakula cha mwili,mwili ukiufuga unaanza kuzalisha magonjwa,mwili unahitaji heka heka ili uwe imara.

Kula kushiba ,unakunywa unakaa kwenye tv giza linaingia unaenda kulala kisha,unaamka kula ,kunywa unakaa kwenye tv,miaka na miaka usishangae kupata magonjwa ya ajabu ajabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijasoma body nimesoma heading, ila nakwambia kazi za maelekezo yana toka juu, ukimaliza akili yako ikiwa imekaa sawa unavurugika kiakili tena na stroke inaanzia hapo hapo mkuu, tuwe wakweli, the matrix is fuwked up…
 
Inasikitisha sana, hilo swali limekuwa likinifikirisha sana
 
Hao walizoea kula pesa za Bure za bila jasho,baada ya kustaafu ndio wanakutana na maisha halisi lazima wawe na stroke Hadi akili ziwakae sawa.
 
Toka Nyerere wakuu wote wamajeshi wapo hai.....wengi wakishastaafu wanajiachia sana na uzee lazima magonjwa ya pressure na kisukari hayawaachi....walishagawana wanajeshi wengi stroke na polisi wengi kisukari
Achna na hao wanaostaafu kwenda Ofisini ila maokoto ya Bure gapo ila wale wanaostaafu kazi na maokoto kupungua ndio hupatwa na hizo shida.
 
Kwahiyo unataka kusemaje?
Kwamba inakua induced kutunza siri za naniliu au?
 
Kwasababu wewe ni tapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…