jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Stress za maisha na pombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lako mnafiki Huwa unapenda kuandika habari za kudhalilisha majeshi yetuMwenyezi Mungu aendelee Kumtunza.
Bujibuji Simba Nyamaume katika Mitaa yako ya Mbezi Beach ( hasa usawa wa Kona Baa ) nyuma ya Nyumba ya Marehemu Mzee Kitundu
Nilipigana vita vya Uganda mkuu huna haja ya kunisimulia. Huyu mwamba yuko vizuri sana.Alikuwa mkuu wa Majeshi ya Tanzania aliongoza vita na Uganda kumuondoa Idd Amin miaka ya 1970 huko Yuko fit akikohoa tu au chafya mafua tiba ulaya
Mleta mada mwehu ambulance ya mirembe iende kwake
Sijasoma body nimesoma heading, ila nakwambia kazi za maelekezo yana toka juu, ukimaliza akili yako ikiwa imekaa sawa unavurugika kiakili tena na stroke inaanzia hapo hapo mkuu, tuwe wakweli, the matrix is fuwked up…Tafadhali naomba huu Uzi uwe na Mjadala wenye Mantiki kwa Faida ya Wengi kwani kwa Utafiti wangu GENTAMYCINE nikienda Kuona Wagonjwa Lugalo Military General Hospital na hata Majumbani / Mitaani 90% ya Wagonjwa wa Kiharusi ( mliosoma mnauita Stroke ) huwa ni Wanajeshi Wastaafu ( tena waliokuwa na Vyeo Vikubwa ) kabisa.
Nini hasa hupelekea hali hii? Bujibuji Simba Nyamaume katika Mitaa yako ya Mbezi Beach ( hasa usawa wa Kona Baa ) nyuma ya Nyumba ya Marehemu Mzee Kitundu kuna. Wajeda Watatu ( Wastaafu wa Vyeo vya Juu. ) wote wana 'Stroke' na Nyumba zao ziko jirani jirani tafadhali kuanzia Saa 11 sema utakuwa wapi nikupitie ili tukawasalimu kwani Walifanya Kazi Kubwa sana katika Kumtia Adabu Nduli Idi Amini Dada.
Nichukue nafasi hii kuwapa Pole nyingi mno wale wana JamiiForums wote Wanaouguza Wazazi wenye hili tatizo la Kiharusi ( Stroke ) ambalo GENTAMYCINE naona ni kama vile limeachwa tu wakati naliona kwa sasa ndiyo limeshika Kasi na linatishia sana.
Mwenyezi Mungu awapiganie Wagonjwa wote wa Stroke ( Kiharusi ) na awatie Nguvu na awape Uvumilivu na Ujasiri wale Watu ( Wanafamilia ) wote Wanaowauguza Mahospitalini na Majumbani.
Inasikitisha sana, hilo swali limekuwa likinifikirisha sanaTafadhali naomba huu Uzi uwe na Mjadala wenye Mantiki kwa Faida ya Wengi kwani kwa Utafiti wangu GENTAMYCINE nikienda Kuona Wagonjwa Lugalo Military General Hospital na hata Majumbani / Mitaani 90% ya Wagonjwa wa Kiharusi ( mliosoma mnauita Stroke ) huwa ni Wanajeshi Wastaafu ( tena waliokuwa na Vyeo Vikubwa ) kabisa.
Nini hasa hupelekea hali hii? Bujibuji Simba Nyamaume katika Mitaa yako ya Mbezi Beach ( hasa usawa wa Kona Baa ) nyuma ya Nyumba ya Marehemu Mzee Kitundu kuna. Wajeda Watatu ( Wastaafu wa Vyeo vya Juu. ) wote wana 'Stroke' na Nyumba zao ziko jirani jirani tafadhali kuanzia Saa 11 sema utakuwa wapi nikupitie ili tukawasalimu kwani Walifanya Kazi Kubwa sana katika Kumtia Adabu Nduli Idi Amini Dada.
Nichukue nafasi hii kuwapa Pole nyingi mno wale wana JamiiForums wote Wanaouguza Wazazi wenye hili tatizo la Kiharusi ( Stroke ) ambalo GENTAMYCINE naona ni kama vile limeachwa tu wakati naliona kwa sasa ndiyo limeshika Kasi na linatishia sana.
Mwenyezi Mungu awapiganie Wagonjwa wote wa Stroke ( Kiharusi ) na awatie Nguvu na awape Uvumilivu na Ujasiri wale Watu ( Wanafamilia ) wote Wanaowauguza Mahospitalini na Majumbani.
Hao walizoea kula pesa za Bure za bila jasho,baada ya kustaafu ndio wanakutana na maisha halisi lazima wawe na stroke Hadi akili ziwakae sawa.Tafadhali naomba huu Uzi uwe na Mjadala wenye Mantiki kwa Faida ya Wengi kwani kwa Utafiti wangu GENTAMYCINE nikienda Kuona Wagonjwa Lugalo Military General Hospital na hata Majumbani / Mitaani 90% ya Wagonjwa wa Kiharusi ( mliosoma mnauita Stroke ) huwa ni Wanajeshi Wastaafu ( tena waliokuwa na Vyeo Vikubwa ) kabisa.
Nini hasa hupelekea hali hii? Bujibuji Simba Nyamaume katika Mitaa yako ya Mbezi Beach ( hasa usawa wa Kona Baa ) nyuma ya Nyumba ya Marehemu Mzee Kitundu kuna. Wajeda Watatu ( Wastaafu wa Vyeo vya Juu. ) wote wana 'Stroke' na Nyumba zao ziko jirani jirani tafadhali kuanzia Saa 11 sema utakuwa wapi nikupitie ili tukawasalimu kwani Walifanya Kazi Kubwa sana katika Kumtia Adabu Nduli Idi Amini Dada.
Nichukue nafasi hii kuwapa Pole nyingi mno wale wana JamiiForums wote Wanaouguza Wazazi wenye hili tatizo la Kiharusi ( Stroke ) ambalo GENTAMYCINE naona ni kama vile limeachwa tu wakati naliona kwa sasa ndiyo limeshika Kasi na linatishia sana.
Mwenyezi Mungu awapiganie Wagonjwa wote wa Stroke ( Kiharusi ) na awatie Nguvu na awape Uvumilivu na Ujasiri wale Watu ( Wanafamilia ) wote Wanaowauguza Mahospitalini na Majumbani.
Achna na hao wanaostaafu kwenda Ofisini ila maokoto ya Bure gapo ila wale wanaostaafu kazi na maokoto kupungua ndio hupatwa na hizo shida.Toka Nyerere wakuu wote wamajeshi wapo hai.....wengi wakishastaafu wanajiachia sana na uzee lazima magonjwa ya pressure na kisukari hayawaachi....walishagawana wanajeshi wengi stroke na polisi wengi kisukari
Naunga mkono hojaOmbi, tutenge siku ya kukutanisha mahasim wa Jf kuzichapa live, maana humu naona tunakoromeana tu
Mteremko? How?Wengi wao washazoea maisha ya mteremko
Ova
Lawson uwezo wake ukoje?Vergil ndy anazipiga na Freddie lawson
Dogo kweli yuko njema
Ova
Katika Askari wote, trafik wanaongoza kwa madhambi, hawajui Kuna baadhi ya watu wanaowakomoa barabarani Ni wadigo.Traffic ndiyo wanaongoza Kwa kuugua stroke hawa jamaa wakishastaafu anaishi miaka 2 Tu ikifika wa 3 anakufa
Kwahiyo unataka kusemaje?Tafadhali naomba huu Uzi uwe na Mjadala wenye Mantiki kwa Faida ya Wengi kwani kwa Utafiti wangu GENTAMYCINE nikienda Kuona Wagonjwa Lugalo Military General Hospital na hata Majumbani / Mitaani 90% ya Wagonjwa wa Kiharusi ( mliosoma mnauita Stroke ) huwa ni Wanajeshi Wastaafu ( tena waliokuwa na Vyeo Vikubwa ) kabisa.
Nini hasa hupelekea hali hii? Bujibuji Simba Nyamaume katika Mitaa yako ya Mbezi Beach ( hasa usawa wa Kona Baa ) nyuma ya Nyumba ya Marehemu Mzee Kitundu kuna. Wajeda Watatu ( Wastaafu wa Vyeo vya Juu. ) wote wana 'Stroke' na Nyumba zao ziko jirani jirani tafadhali kuanzia Saa 11 sema utakuwa wapi nikupitie ili tukawasalimu kwani Walifanya Kazi Kubwa sana katika Kumtia Adabu Nduli Idi Amini Dada.
Nichukue nafasi hii kuwapa Pole nyingi mno wale wana JamiiForums wote Wanaouguza Wazazi wenye hili tatizo la Kiharusi ( Stroke ) ambalo GENTAMYCINE naona ni kama vile limeachwa tu wakati naliona kwa sasa ndiyo limeshika Kasi na linatishia sana.
Mwenyezi Mungu awapiganie Wagonjwa wote wa Stroke ( Kiharusi ) na awatie Nguvu na awape Uvumilivu na Ujasiri wale Watu ( Wanafamilia ) wote Wanaowauguza Mahospitalini na Majumbani.
Kwasababu wewe ni tapeliTafadhali naomba huu Uzi uwe na Mjadala wenye Mantiki kwa Faida ya Wengi kwani kwa Utafiti wangu GENTAMYCINE nikienda Kuona Wagonjwa Lugalo Military General Hospital na hata Majumbani / Mitaani 90% ya Wagonjwa wa Kiharusi ( mliosoma mnauita Stroke ) huwa ni Wanajeshi Wastaafu ( tena waliokuwa na Vyeo Vikubwa ) kabisa.
Nini hasa hupelekea hali hii? Bujibuji Simba Nyamaume katika Mitaa yako ya Mbezi Beach ( hasa usawa wa Kona Baa ) nyuma ya Nyumba ya Marehemu Mzee Kitundu kuna. Wajeda Watatu ( Wastaafu wa Vyeo vya Juu. ) wote wana 'Stroke' na Nyumba zao ziko jirani jirani tafadhali kuanzia Saa 11 sema utakuwa wapi nikupitie ili tukawasalimu kwani Walifanya Kazi Kubwa sana katika Kumtia Adabu Nduli Idi Amini Dada.
Nichukue nafasi hii kuwapa Pole nyingi mno wale wana JamiiForums wote Wanaouguza Wazazi wenye hili tatizo la Kiharusi ( Stroke ) ambalo GENTAMYCINE naona ni kama vile limeachwa tu wakati naliona kwa sasa ndiyo limeshika Kasi na linatishia sana.
Mwenyezi Mungu awapiganie Wagonjwa wote wa Stroke ( Kiharusi ) na awatie Nguvu na awape Uvumilivu na Ujasiri wale Watu ( Wanafamilia ) wote Wanaowauguza Mahospitalini na Majumbani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ombi, tutenge siku ya kukutanisha mahasim wa Jf kuzichapa live, maana humu naona tunakoromeana tu