Narudia tena! Soka limepitia evolution kubwa sana.Ila mpaka leo ni mashujaa Manchester United na Ac Milan licha ya offside zao laki moja
Mkuu unajua mifumo ya mchezo wa soka? Kocha anapoamua kumsimamisha mshambuliaji mmoja mbele unadhani anakua ameangalia nn ?Narudia tena! Soka limepitia evolution kubwa sana.
Wangekuwapo kwenye mfumo wa hivi sasa!
Wasingefanikiwa kwa kadiri walivyo fanikiwa kipindi hiko.
Mkuu nimecheza soka la mchangani,msasani pale ,pia nimewahi kua chini ya kocha Ron Mitjens na timu ya the Future /cubs mazoezi ni pale IST masaki ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha shida mpira haujui sawa acha tufunge mjadalaNarudia tena! Soka limepitia evolution kubwa sana.
Wangekuwapo kwenye mfumo wa hivi sasa!
Wasingefanikiwa kwa kadiri walivyo fanikiwa kipindi hiko.
Samatta mzuri sana kwenye chenga,ulimuona mechi Simba na Tp Mazembe zote mbili?Jamaa kaongea ukweli kbs, Samatta sijui kama anaweza chambua kama Hazard
Huyu fala hajui soka mkuu achana naeKwa nini Eric Cantona alipendwa?
Kwa nini Robin van perse alipendwa?
Kama unajua soka utaelewa
Mkuuu,ebu nambie striker Bora anapimwaje?magoli,dribling,au nn?ukinijibu compare n Samata then ujue umekosea wapKama idadi ya magoli ndio kigezo...basi Msuva angekuwa Yanga SC mpaka sasa....na Bocco angekuwa anakipiga Zamaleck ...
Hapo ndio umekosea, huko juu niliamini unampa changamoto Samata, ila hapo chini nimeona una roho ya kukunja, umtakii kheriNknachokiona ni kwamba Mbwana Samatta ataishia kucheza soka Genk pekee na mwisho wa siku kustaafu soka akiwa pale pale.
Modern football ndiyo imawahitaji hawa sasa au wewe unamjua hazard na Messi tuNimekuwa nikijiuliza kwanini Mbwana Samatta ameganda pale pale Genk KRC pasi na kusonga mbele.?
Wamekuja wakina Bailey wamesepa..
Wamekuwa wakina Ndidi wamesepa...
Kwani uwezo wake unatia shaka wazungu?
Nilichogundua ni kwamba uwezo wa Samatta ni wa Ligi ndogo ndogo sana barani Ulaya.
Ukizingatia matakwa makubwa sana ya Mshambulizi kwenye soka ni kuwa na uwezo wa ziada na si kufunga mabao tu.. Mbwana amekosa mambo kadhaa ya kiufundi ambayo anatakiwa awe nayo mshambuliaji ili aweze kukidhi kumudu nafasi za juu kwenye klabu zitokazo kwenye ligi kubwa barani Ulaya.
Samatta kama Mshambuliaji amepewa vitu 2 na Mwenyezi Mungu.
1. Insticts (Inayozaa Anticipation)
2. Finishing.
Vitu ambavyo havitoshi kabisa kuhimili mikiki mikiki ya Wakubwa wa Bara la Ulaya.
Nimefualia karibia 90% ya mabao afungayo akiwa Genk ni Tap - Ins.
Kwa wasio elewa maana ya Tap-ins ni ile mipira inayokufikia miguuni au kichwani na kuikwamisha nyavuni mara mona pasi na kuipooza.
Ni nadra sana kuona Mbwana akifunga bao baada ya kupunguza walizi waliwi au watatu.
Kitu ambacho mshambuliaji aliye kamilika anatakiwa awe na uwezo wa namna hiyo pia.
Kama akikutana na defence mechanism ambayo inafanya Man to Man marking jamaa anakuwaga anatoa jasho tu kama bomba wa maji ya Dawasco lililo toboka.
Nknachokiona ni kwamba Mbwana Samatta ataishia kucheza soka Genk pekee na mwisho wa siku kustaafu soka akiwa pale pale.
Samatta wetu ni wakawaida sana.View attachment 881959
Inzaghi alikua anawapunguza mabeki??mkuu unazingua aseeeBut at least walikuwa wanaweza kupunguza...But sio kwa Mmakonde wetu.
wapo wengi mkuu mtu kama Aubameyang na cheche zake zote hajawahi kufunga goli nje ya box kwa maisha yake yote ya mpira sasa lakini ni moja ya striker hatari duniani mtu kama Mauro Icardi, Benzema, Giroud muda wote wapo ndani ya box lakini ni watu wakubwa dunia jamaa anachuki na SamattaHajamuona lukaku chief