Kwanini 90% ya Mabao ya Mbwana Samatta ni Tap-Ins.?

Kwanini 90% ya Mabao ya Mbwana Samatta ni Tap-Ins.?

Ila mpaka leo ni mashujaa Manchester United na Ac Milan licha ya offside zao laki moja
Narudia tena! Soka limepitia evolution kubwa sana.

Wangekuwapo kwenye mfumo wa hivi sasa!
Wasingefanikiwa kwa kadiri walivyo fanikiwa kipindi hiko.
 
Its fine kwani unajua ndoto zake ninkufika wapi? Mpira ni magoli...mengine ni manjonjo!
 
Narudia tena! Soka limepitia evolution kubwa sana.

Wangekuwapo kwenye mfumo wa hivi sasa!
Wasingefanikiwa kwa kadiri walivyo fanikiwa kipindi hiko.
Mkuu unajua mifumo ya mchezo wa soka? Kocha anapoamua kumsimamisha mshambuliaji mmoja mbele unadhani anakua ameangalia nn ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu nimecheza soka la mchangani,msasani pale ,pia nimewahi kua chini ya kocha Ron Mitjens na timu ya the Future /cubs mazoezi ni pale IST masaki ,
Mwalimu juma matokeo ,mwalimu Ernest Mokake ,

nilipenda soka ila nilikosa sapoti hm nikaachana nalo

Ila nimekula Sana matunda ya soka

Samata yuko vzr ktk eneo la ufungaji ,na ndio maana pale Genk huwa anasimama km MTU wa mwisho kufanya hicho unachokisema
 
Narudia tena! Soka limepitia evolution kubwa sana.

Wangekuwapo kwenye mfumo wa hivi sasa!
Wasingefanikiwa kwa kadiri walivyo fanikiwa kipindi hiko.
Hahaha shida mpira haujui sawa acha tufunge mjadala
 
Jamaa kaongea ukweli kbs, Samatta sijui kama anaweza chambua kama Hazard
Samatta mzuri sana kwenye chenga,ulimuona mechi Simba na Tp Mazembe zote mbili?

Ulimfuatilia kipindi yuko Mazembe?

Genk samatta anasimama km MTU wa mwisho
 
umeongea ukweli ulio na ka chuki flani tena kakubwa tu ndani yake, mambo ya hataenda mbali zaidi ya hapo si kwa matakwa yako ila ya muumba (andiko lako linaonesha hutaki a move mbele)

ivi lukaku huwa anapunguza mabeki wangap? ama morata
 
Nasema hivi ata akifunga kwa mkono kama limekubaliwa basi hilo ni goli tu
 
Kama idadi ya magoli ndio kigezo...basi Msuva angekuwa Yanga SC mpaka sasa....na Bocco angekuwa anakipiga Zamaleck ...
Mkuuu,ebu nambie striker Bora anapimwaje?magoli,dribling,au nn?ukinijibu compare n Samata then ujue umekosea wap
 
Nknachokiona ni kwamba Mbwana Samatta ataishia kucheza soka Genk pekee na mwisho wa siku kustaafu soka akiwa pale pale.
Hapo ndio umekosea, huko juu niliamini unampa changamoto Samata, ila hapo chini nimeona una roho ya kukunja, umtakii kheri
 
Nimekuwa nikijiuliza kwanini Mbwana Samatta ameganda pale pale Genk KRC pasi na kusonga mbele.?

Wamekuja wakina Bailey wamesepa..

Wamekuwa wakina Ndidi wamesepa...

Kwani uwezo wake unatia shaka wazungu?

Nilichogundua ni kwamba uwezo wa Samatta ni wa Ligi ndogo ndogo sana barani Ulaya.

Ukizingatia matakwa makubwa sana ya Mshambulizi kwenye soka ni kuwa na uwezo wa ziada na si kufunga mabao tu.. Mbwana amekosa mambo kadhaa ya kiufundi ambayo anatakiwa awe nayo mshambuliaji ili aweze kukidhi kumudu nafasi za juu kwenye klabu zitokazo kwenye ligi kubwa barani Ulaya.

Samatta kama Mshambuliaji amepewa vitu 2 na Mwenyezi Mungu.

1. Insticts (Inayozaa Anticipation)
2. Finishing.

Vitu ambavyo havitoshi kabisa kuhimili mikiki mikiki ya Wakubwa wa Bara la Ulaya.

Nimefualia karibia 90% ya mabao afungayo akiwa Genk ni Tap - Ins.
Kwa wasio elewa maana ya Tap-ins ni ile mipira inayokufikia miguuni au kichwani na kuikwamisha nyavuni mara mona pasi na kuipooza.

Ni nadra sana kuona Mbwana akifunga bao baada ya kupunguza walizi waliwi au watatu.

Kitu ambacho mshambuliaji aliye kamilika anatakiwa awe na uwezo wa namna hiyo pia.

Kama akikutana na defence mechanism ambayo inafanya Man to Man marking jamaa anakuwaga anatoa jasho tu kama bomba wa maji ya Dawasco lililo toboka.

Nknachokiona ni kwamba Mbwana Samatta ataishia kucheza soka Genk pekee na mwisho wa siku kustaafu soka akiwa pale pale.

Samatta wetu ni wakawaida sana.View attachment 881959
Modern football ndiyo imawahitaji hawa sasa au wewe unamjua hazard na Messi tu
 
Kocha Wa samatta weww mkuu unamzidi akili ya mpira.au timu zinazohusishwa kumchukua samata unawaona hawana cha maana watakachopata kwake ???.

Tz kila MTU ni kashasha hilo ndio tatizo letu
 
Hajamuona lukaku chief
wapo wengi mkuu mtu kama Aubameyang na cheche zake zote hajawahi kufunga goli nje ya box kwa maisha yake yote ya mpira sasa lakini ni moja ya striker hatari duniani mtu kama Mauro Icardi, Benzema, Giroud muda wote wapo ndani ya box lakini ni watu wakubwa dunia jamaa anachuki na Samatta
 
Back
Top Bottom